Kuna nini Hospitali ya Kairuki?

Kuna nini Hospitali ya Kairuki?

bila data hauwezi kueleweka...na pia severity ya Mgonjwa ugonjwa ilikuwaje?Mwisho wa siku wao sio miungu ndo maana wagonjwa lazima msaini kibali cha kuwaruhusu wakufanyie operation baada ya kuelezwa pro and con's especially kuwa you might survive or die
 
Why majority of the operations are not sucessful....watu wanapoteza maisha....what the heal is going on??????

Ni hayo tu...kwa anaejua tatizo la pale embu afungue macho na wengine

Watu wengi naowajua waliofanyiwa upasuaji pale they didnt make it...to bad
Ni jambo zito ila umeliongea kiwepesi mno
 
Hilo lina ukweli kwa upande wangu ndugu yangu alifanyiwa laparatomy...hakutoka

Pole hosp ni muhimbili sema watu huwa wanakimbilia huko kwingine kwa operation sijui huwa wanajiamini vipi .
 
Why majority of the operations are not sucessful....watu wanapoteza maisha....what the heal is going on??????

Ni hayo tu...kwa anaejua tatizo la pale embu afungue macho na wengine

Watu wengi naowajua waliofanyiwa upasuaji pale they didnt make it...to bad
1.neno "heal" umelitumia ukimaanisha nini?
2. "to bad" maana yake nini?
 
Ngoja nimcheki ndugu yangu ambaye ni dactari wa hapo,alafu nirudi na majibu ya uhakika.
 
kwenye hili kuna ukweki jamani operation twendeni muhimbili pale sipaamini tena kwa operation maana mengi nimeyaona pale wengi wanalalamikacjui kuna nn heri muhimbili pamoja na mapungufu yao lakin wana heri.kairuk mmmh kun shdaa.
 
Mimi naona inategemea na aina ya tatizo. Hata hospitali nyingine nako wanakufa sema wewe utakuwa umempoteza mtu wako wa karibu ukakonkludi kuwa wote wanao fanyiwa operesheni hufa. Mimi naona wanajitahidi sana lakini inapofikia mola kaamua hawana la kufanya.
 
Kwa upande wangu ni hospitali nzuri kwa surgery.. mdogo wangu alifanyiwa surgery ya tonsils.. yupo powa mpaka leo ni miaka miwili imepita.. na pia babu yangu alifanyiwa surgery utumbo wake ulikuwa umejikunja na yupo powa mpaka leo..
Inawezekena madaktari wanaofanya hiyo shughuli ndo wanatofautiana..
 
Why majority of the operations are not sucessful....watu wanapoteza maisha....what the heal is going on??????

Ni hayo tu...kwa anaejua tatizo la pale embu afungue macho na wengine

Watu wengi naowajua waliofanyiwa upasuaji pale they didnt make it...to bad
lin ni kweli kabisa watu wanateketea pale nitakuja na ushuhuda wangu
 
Last edited by a moderator:
Me pia wakuu nilifanyiwa operation ya tonsilitis aisee imekuwa shida zaidi wakuu! Labda yaweza kuwa kweli manake yupo mkuu wangu naye alifanyiwa upasuaji kama wangu last year lkn analalamika no changes

Fuatilieni kwa undani ubora wa elimu itokewayo kwenye chuo chao.mtapata jibu
 
Tatizo la pale ni ukabila,niliacha kutumia hospital ile tangu 2007.
 
Baba yangu mzazi syxtus mwanambuu nimemzika tarehe sita mwezi uliopita, alikuwa na diabetes wakaanza kukata vidole then wakasema akatwe mguu chini ya goti kidonda kilikaa miezi miwili wakashauri akatwe juu ya goti wakati huo hali imeshakuwa worse na ishatumika 14 million ikabidi tukimbilie aga khan,walijitahidi sana lkn ilishakuwa too late, huyo dr muganyizi hajui kitu lkn mjuaji sijui kwa kuwa ni family business, hii hospital ni janga kiukweli
 
Bahati yao lkn ile ni hospitali mbaya mi kuna siku nilienda matibabu yanafanywa na wanafunzi..anatumia cheap labour
 
Mamangu alifanyiwa city scan jumatatu jion wanangojea daktar wa kuisoma kutok muhimbil aje jumatatu ya wiki inayofuata. Maza akangojea mpaka jumapil akaamua apumzike mweeh it was too much. Wanambadilisha kitanda tuu.
 
Nilifanyiwa operation ya goti mwaka 2010 lakini nilihudumiwa vizuri na ilifanyika vizuri. Jamani hata muhimbili na hospitali nyingine siyo kila operation itafanikiwa. It's matter of god wishes
 
1.neno "heal" umelitumia ukimaanisha nini?
2. "to bad" maana yake nini?

Amepotoka nadhani 'heal'hakumaanisha ile ya kutibu ila alitaka kusema 'what the hell is going on' 'to bad'nadhani alitaka kuandika 'too bad' hayo ndo marekebisho kama na mimi sijapotoka.
 
Back
Top Bottom