Kuna nini Hospitali ya Kairuki?

Kuna nini Hospitali ya Kairuki?

Nna Dada mmoja namjua alienda kujifungua hapo kairuki sasa wakamchana kuongeza njia, katika kumshona c wakaziba mpaka na tundu kabisa,mdada kufika nyumbani anashangaa haoni pa kukojolea. Ilibidi arudishwe achanwe upya

Mamaaaaaaaa❕❕
 
Data atazitoa wapi unadhani watakubali kumpa uozo wao? Ila ndo hivyo habari mmepata mkienda kichwa kichwa shauri yenu,watu wengi wanalalamikia huduma mbovu hata dr.wa TMJ alifanyiwa operation akafia hapo mwaka huu. Me sijawahi kutibiwa hapo ila watu wengi wanalalamikia. Ilikuwa nzuri zamani sio sasa hivi,mwenye sio na asikie mwenye macho na aone mwenyewe.
 
bila data ni vigumu kuafikiana na hilo, inawezekana pia hio ndio kati ya hospitali inayopata wagonjwa wengi hivo basi wanaopona vile vile ni wengi zaidi.
 
Back
Top Bottom