Kuna nini Hospitali ya Kairuki?

Kuna nini Hospitali ya Kairuki?

Mkuu mtaje daktari ili tumuepuke.

Nina case tatu kuhusu Kairuki
1. Ni mtoto kuachwa wazi baada ya kizaliwa na baridi ikamuathiri sana. Huyu alikufa few days after
2. Mtoto kizaliwa kuachwa wazi kiuzembe nae akapata matatizo bahati nzuri walimkwida misindano akaponea tunduni
3 . Unsuccessful operation ya titi iliyofanywa kwa uzembe. In fact hawakupaswa kufanya operation basing on the patient's age na case yenyewe. Ndio ilizidisha tatizo kwani hata uvimbe walio sema wanautoa hawakuutoa. Mgonjwa alihamia TMJ sijapata update za hali yake.

Wa kuu TMJ napo vipi?

TMJ is just as bad. Peleka mgonjwa Regency Hospital haraka.
 
TMJ is just as bad. Peleka mgonjwa Regency Hospital haraka.

Nina unsuccessful case moja na successful case moja ya TMJ. Hiyo unsuccessful case ni tezi dume. yani tatizo limekuwa worse baada ya kuweka vile vimashine vya kuondoa tatizo.
regency nilishakutana na mwingine analalamika amepakimbia. me naona bora muhimbili mara 100
 
Nna Dada mmoja namjua alienda kujifungua hapo kairuki sasa wakamchana kuongeza njia, katika kumshona c wakaziba mpaka na tundu kabisa,mdada kufika nyumbani anashangaa haoni pa kukojolea. Ilibidi arudishwe achanwe upya
 
Sasa kama standard ya ubora wa hospitali ingekuwa ni malalamiko ya watu, nadhani Muhimbili ingekuwa nothing less than a dungeon of death and suffering.
 
Kwani wewe ur other name ni GENTAMYCYNE? Lazima utakuwa mwanaume tu wewe...nakusamehe!

we watu wanajadili mada sensitive,we unataka kukolezewa umbea!,una akili wewe??!!kama ulikuwa unawinda ndezi kwenu shamba habari zikakupita,kuwa mpole tu,huwezi jua kila kitu duniani!
 
we watu wanajadili mada sensitive,we unataka kukolezewa umbea!,una akili wewe??!!kama ulikuwa unawinda ndezi kwenu shamba habari zikakupita,kuwa mpole tu,huwezi jua kila kitu duniani!

Hahahahah we utakuwa mwanaume tu...usijali huwa sisikilizi wanaume wa Tanzania
 
Ooooh siamin kinachoongelewa kuhsu kairuki hospital kwan wizara kama wasimamizi wakuu kiutendaji wamaepata taarifa.tuwaombe wafuatilie hiz rumours then watupe mrejesho.
 
Mgonjwa wangu mtoto alishafia tumboni, lakini wao wakanificha na kuforce operation nikakataa, nikamhamishia muhimbili ambako walikataa kumfanyia operation kwa kigezo cha kumtia mama ubovu wakati mtoto keshafariki, alipewa dawa za uchungu na akajifungua kawaida na akapona wenzangu waliokubali operation walipoteza wapendwa wao

Hakuna sehemu nafuu muhimbili nako ni hatari wanauwa kizembe sana
 
Mbona huwa napata huduma nzuri sana kairuki jamani!
 
Why majority of the operations are not sucessful, watu wanapoteza maisha, what the heal is going on?

Ni hayo tu...kwa anaejua tatizo la pale embu afungue macho na wengine.

Watu wengi ninaowajua waliofanyiwa upasuaji pale they didn't make it, to bad.

= hell
= too bad
 
Nna Dada mmoja namjua alienda kujifungua hapo kairuki sasa wakamchana kuongeza njia, katika kumshona c wakaziba mpaka na tundu kabisa,mdada kufika nyumbani anashangaa haoni pa kukojolea. Ilibidi arudishwe achanwe upya

duh!!! hiyo hataree sana
 
kuna nini hospitali ya Kairuki?
Jibu:- kuna madaktari,wauguzi,wafanya usafi,chuo,wanafunzi,waalimu,walinzi na hospitali.√√√√√.
 
Nchi hii in a hospital chache sana.
Mengine ni majengo tu yaliyojaa roho ya unauti. Kwangu Mimi hospital bora ni St.Francis hospital ipo Ifakara, Ikonda IPO Njombe.
Zingine tajeni ili watu wazijue.
Hospital kama KCMC hakuna kitu pale.
 
Kuna jamaa kweli alienda mwenyewe anaendesha gari, akarudi marehemu. .kuna tatizo pale
 
sina concrete case ya kairuki lakini hisia zangu huwa hazinipi kabisa kwenda pale. hata kwenye listi ya hospitali kairuki huwa hainijii kabisa.
cha kushangaza nikienda kuwaangalia ndugu huwa nawashangaa kwa nini wameenda pale.
kuna hali fulani pale huwa siielewi.
 
Hahahahah we utakuwa mwanaume tu...usijali huwa sisikilizi wanaume wa Tanzania

teh teh teh....umbea ulokuwa unauulizia ulikuwa unamhusu mwanamke?nimegundua una tatizo zaidi ya nilivyofikiria!
Sasa,tulia basi usome huu uzi labda waweza hitaji huduma ya kitabibu Kairuki!
Husikilizi wanaume wa Tanzania?!!..we si mzima!
Kwaheri.
 
Nashukuru kwa kunielewa
This is ridiculous.

Unataka mleta mada alete takwimu atazipata hizi takwimu kutoka wapi?

lin ameleta malalamishi yake binafsi na lengo lake ni kuona kama kuna watu wengine hapa wenye experiences zao (nzuri au mbaya) waziweke.

Nimepitia mabandiko yote hapa na mpaka sasa wanaosema hospitali ina matatizo ni wengi kuliko walioridhika na huduma. Hii pengine haiashirii chochote kuhusu ubora au udhaifu wa hii hospitali lakini nadhani ni jukumu la hospitali (au wizara ya afya) kufanya tathmini huru (independent evaluation) ya huduma zao.

This is a serious PR (public relations) problem.

Kuipuuzia tu hii shutuma na kusema "LETE TAKWIMU" ni sawasawa na kuzamisha kichwa chako kwenye mchanga ukadhani watu hawakuoni tena kwa sababu tu wewe huwaoni.
 
Back
Top Bottom