Kuna nini Hospitali ya Kairuki?

Kuna nini Hospitali ya Kairuki?

Aurora

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
7,308
Reaction score
5,276
Why majority of the operations are not sucessful, watu wanapoteza maisha, what the heal is going on?

Ni hayo tu...kwa anaejua tatizo la pale embu afungue macho na wengine.

Watu wengi ninaowajua waliofanyiwa upasuaji pale they didn't make it, to bad.
 
Hilo lina ukweli kwa upande wangu ndugu yangu alifanyiwa laparatomy...hakutoka
 
Mkuu umekosea spellings?
Wangapi huwa wanafanyiwa operations? Kati ya hao wangapi wanakufa na wangapi wana survive?
 
Why majority of the operations are not sucessful....watu wanapoteza maisha....what the heal is going on??????

Ni hayo tu...kwa anaejua tatizo la pale embu afungue macho na wengine

Watu wengi naowajua waliofanyiwa upasuaji pale they didnt make it...to bad

Ndg. yangu na mimi umenigusa,kuna mdogo wangu alifanyiwa operation hapo lakini kwa kweli hali yake ndo imezidi kuwa tete na inaonekana kama hyo operation imeongeza tatizo badala ya kupunguza!
 
Why majority of the operations are not sucessful....watu wanapoteza maisha....what the heal is going on??????

Ni hayo tu...kwa anaejua tatizo la pale embu afungue macho na wengine

Watu wengi naowajua waliofanyiwa upasuaji pale they didnt make it...to bad

Mkuu umetumia lugha ya Malkia mistari michache ila ina matege kweli kweli!
 
Me pia wakuu nilifanyiwa operation ya tonsilitis aisee imekuwa shida zaidi wakuu! Labda yaweza kuwa kweli manake yupo mkuu wangu naye alifanyiwa upasuaji kama wangu last year lkn analalamika no changes
 
Mkuu umetumia lugha ya Malkia mistari michache ila ina matege kweli kweli!

Huu Uzi haujatenda haki kwa sababu una 'generalize' bila kutoa takwimu sahihi.

Unaposema majority ni ngapi hizo? Na ni kati ya ngapi? Hii ingetuaaidia.
Hao ambao hazikwenda vizuri hali zao kabla ya operation zilikuwaje?

Hivi walikuwa na shida gani nyingine ukiacha hiyo iliyopelekea kupasuliwa? Mfano kisukari, high blood pressure, ukinwi nk.nk..

Nijuavyo mimi HK Memotial Hosp ni Hosp kubwa na inafundisha madaktari hivyo uwezekano wa kupelekewa kama Rufaa wagonjwa wslio mahututi walitibiwa sehemu nyingine ni mkubwa na hii pia inaongeza uwezekano wa wagonjwa ambao hawataishia vizuri kutokana tu na hali zao.

Ni Kweli hata mmoja Kati ya mia akifariki kwa yule iliyemtokea kwake ni asilimia 100.. Lakini ni vizuri kuwa na background information badala ya kulaumu tu simply kwa kuwa aliyeguswa ana nafasi ya kuandika mtamdaoni ....
 
Kwahiyo mgonjwa akifika hapo ndo safari ya mapumziko
 
Ungetoa takwimu na si ku generalize.
Kila hospital huwa kuna wagonjwa wanaokufa na wanaopona.
Kwa ambao wagonjwa wao wanakufa,wataielezea vibaya,kwa ambao wagonjwa wanapona wataieleza vizuri!
 
Why majority of the operations are not sucessful....watu wanapoteza maisha....what the heal is going on??????

Ni hayo tu...kwa anaejua tatizo la pale embu afungue macho na wengine

Watu wengi naowajua waliofanyiwa upasuaji pale they didnt make it...to bad

Mkuu tukipata Data zaidi itasaidia zinazohusu % ya wagonjwa waliokufa as as result of those surgical procedures, na vilevile tukipata data za ulinganifu na Hospitali nyingine itasaidia sana....! Kufanikiwa au kutofanikiwa kwa malengo ya Surgery hakutegemei utaalamu au vifaa vilivyoko kwenye hiyo hospitali tu, kuna patient factors ( eg individual prognosis before surgery) na mambo mengine! Tukianza kugeneralize hivi italeta shida kubwa....Tupate data za ulinganifu (failure vs success rate) ya Kairuki Vs Hospitali nyingine na ulinganifu huo uoane na aina za Surgery zilizofanyika! Vilivile kifo kinaweza kukuta popote, wodini nyumbani n.k. ila poleni wote mliopoteza wagonjwa kwa njia yoyote ile ikiwemo inayojadiliwa sasa. Najua kuna wataalamu zaidi nao watachangia kwani issue hii ni very sensitive! Let us be objective!
 
Back
Top Bottom