Kuna mwana JF anatumia ugoro?

Kuna jamaa yangu tumegrow naye tangu utoto jamaa alikuwa anapiga ugoro hata chafya hapigi...

Siku hizi kawa mchungaji
 
Wamasai ni wasenge muda wote wanatema tema mate kwa sababu ya kula ugoro, madhara ya kula ugoro unaharibu meno na midomo, unakata mishipa inayoshikiria midomo kwa ndani, arusha vijana wengi ugoro umewaharibu
 
Asante
Kwa hiyo ugoro unaliwa ama unavutwa kama sigara?
Wapo wanaoweka mdomoni na wapo wanaovuta puani.

Ila mara nyingi huwekwa puani.

sijui kuhusu hawa wanaoweka mdomoni kama huwa wanameza au la...! ila hawa wanaoweka puani huuweka kiganjani ugoro then wanauvuta (inhale) uingie puani.

wapo pia wanaokula ile tumbaku yenyewe ambayo haijasagwa, wanachanganya na magadi wanatafuta!
 
Ina addiction ya kingese sana.... still nastruggle kujitoa
 
Wamasai ni wasenge muda wote wanatema tema mate kwa sababu ya kula ugoro, madhara ya kula ugoro unaharibu meno na midomo, unakata mishipa inayoshikiria midomo kwa ndani, arusha vijana wengi ugoro umewaharibu
Acha kuwabiw ndugu zangu Ni wasengee mkuu wew nin sasa kwani Ni wamasai ndio pekee wanakula chiee

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Hii Ngisujii, ni dawa nzuri sana kwa mafua.
 
Hauwezi kumakataza mtu.
Kula ugoro.wakati double kick inauzwaa dukani.ni kujiongeza mwenyewe.kuna dogo mmoja mpaka kiuno kimelegea sababu ya double Kiki .yaani akitembea Kama anavutwa
Kuna jamaa kitaa alikuwa anagonga chupa 2 daily miguu ikavimba alafu akawa anatetemeka kinoma akiwa kwenye mishe zake alafu ni mshua yaani, saiv kahamia kwenye smart
 
Tiba asili ya mafua na kuzibua nerves.. Tumia kama dawa na si kama kilevi
Yap alright , kipindi fulani nilikuwa jengo la KFC hapo usalama ya kariakoo nikiwa muajiliwa wa mnyonyaji mmoja , sasa siku nalalamika mafua kuna masai wanaolinda kwenye kampuni moja ya kubeti ndani ya hilo jengo akasema weka hii dawa

Puani badae utakuwa sawa nilipiga chafya nyingi sana , kiasi cha kujihisi kichwa hakina ubongo kwa urahisi wa kichwa ila baada ya siku mbili sikuwa na mafua
 
Mama yangu kule Bwisya anatumia ugoro kama kilevi, vilevile kama tool ya kurogea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…