wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Engalaitoo
Unatamani kujua,wanatumia tumbaku na magadiMie natamani kujua unatengenezwa na nini
Ni kweli mkuu.....ugoro unasaidia kutuliza maumivu ya kuuma kwa jino....wahanga waliosaidika na ugoro wanalitambua hili😬😬😬Kuna mwaka nlikuwa naumwa jino nkaambiwa ugoro ni dawa, nkautafuta nkatia mdomoni bhana na kumeza mate, asee nlilewa kama saa 4 hivi nahisi kichwa kinazunguka tu.
Kuna miili ya vilevi asee siye wengine tuacheni tunywe juice tu.
Ile hata watumiaji maarufu hawathubutu kumeza yale mate ya ugoro,ile kitu ni kuna wanaouweka chini ya nyayo za mguu na wanapata stimu freshKuna mwaka nlikuwa naumwa jino nkaambiwa ugoro ni dawa, nkautafuta nkatia mdomoni bhana na kumeza mate, asee nlilewa kama saa 4 hivi nahisi kichwa kinazunguka tu.
Kuna miili ya vilevi asee siye wengine tuacheni tunywe juice tu.

,na nasikia kuna wamama huko Tabora wanauweka huko kwa bibi kukata stimu
Yaah jina lingine Tena ngisugiiHii Ngisujii, ni dawa nzuri sana kwa mafua.


htr Sana mkuuAhahaha mkuuu ulozi tena mkuu Mshana Jr anaweza kulifafanua hili la kutumia ugoro kulogea hpnMama yangu kule Bwisya anatumia ugoro kama kilevi, vilevile kama tool ya kurogea.
InaweZa kuleta mzuka wa kuchakata papuchihii kitu nna mwaka wa 10 natumia nimeshajaribu kila njia kuacha nimeshindwa
Babu kweli unapitia fb na una let's screen shot zake humu hpn kwa kweli siyo ssaawaIle hata watumiaji maarufu hawathubutu kumeza yale mate ya ugoro,ile kitu ni kuna wanaouweka chini ya nyayo za mguu na wanapata stimu fresh,na nasikia kuna wamama huko Tabora wanauweka huko kwa bibi kukata stimu
View attachment 2340180
Vijana wa Chadema ukiwapiga sachi kati ya kumi nane utakuta wanayo mfukoni.
Na ndio asilimia kubwa ya wanaotumia double kick pia.



wee jamaaa una nin Lkn na watu wa pipoz haya njoni kina CHADEMA njooni kanusheni hiliWa standi vp umemaanisha nn mkuu engalaitoo umekozea mkuua auEngalaitoo
Hapana hiyo inaitwa sekino mzee babaKwani ndio kuberi hyo
Wee mzushi ubapotosha watu hpaInatengenezewa kinyesi cha nguruwe.
Sasa unanibishia mimi, kinyesi cha nguruwe inamiksiwa na mkundu wa nyoka, halafu kwa mbaali inatiwa na haradani.. we huonagi ukiweka mdomoni unakuwa ni kama unazibuka? Cc Joanah
Ukipata majibu ya wana JamiiForums Watumiaji Ugoro nakuomba uje na Uzi mwingine tena na Uulize je, kuna wana JamiiForums wanaovuta Bange?Jana nilipita mitaa ya makumbusho kuna bishoo fulani kijana nilikutana nae na kwa muonekano ni mtanashati asna tu. Baada ya dakika kadhaa nikamuona anazama mfukoni na kuibuka na ugoro chapu akafungua na kuutia mdomoni!
Nikasema kama huyu kijana anatumia hivi vitu je, kwa walio secondary si balaa? Je, nini mzuka wa kutumia ugoro, mzuka wake ukoje?
Haijajulikana mara moja athari za matumizi yake kiafya mpaka sasa kwa watumiaji wake. Hivi ugoro kama bangi tu ukikamatwa nayo si kesi hyo ama vipi?
Hivi asili ya ugoro ni kabila gani? Kwa wamasai wanaita ndiani je, kwa kabila lenu mnaitaje?
Note:
Kuna rafiki yangu aliwahi kutumia ugoro kumzima mwanamke aliyemnywea bia zake, alichukua ugoro kidogo na kuchanganya katika bia anazo tumia yule mwanamke badaa ya muda fulani mwanadada alilewa na kushindwa kujitambua. Alijibebea mwanamke huyo kiulaini na kwenda nae kwake. Mpaka sasa haijajulikana kilichotokea!
Sio tu ugoro hata pilipili sijawahiHata mpwayungu village anatumia yule awez kosekana
Purely Talented and Charismatic Fella! Heshima yako kiongozi.Ukipata majibu ya wana JamiiForums Watumiaji Ugoro nakuomba uje na Uzi mwingine tena na Uulize je, kuna wana JamiiForums wanaovuta Bange?
Mimi siyo huyo Umdhaniaye Ndugu bali Mimi ni Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person MINOCYCLINE Ndugu sawa?Purely Talented and Charismatic Fella! Heshima yako kiongozi.