chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,575
Inaitwa 'orgumbau' kwa kimaasai. Sio ile ya kunusa na huwa inatumiwa na wazee. Tobacco pamoja na magadi, eroo achana na hiyo kitu nchore lai. Ukiitumia na wewe sio mzoefu magoti huwa yanaisha nguvu ghafla na kichwa kinalegea hadi unatafuta sehemu ya kukaa chini.Nkaimoguarani, ushoo tapala roi!



Nkaimoguarani, ushoo tapala roi!