Kuna mwana JF anatumia ugoro?

Kuna mwana JF anatumia ugoro?

Kama alivyosema Petro hapo ni kwamba, ugoro unatengenezwa kwa kukaanga tumbaku.

Yaani unakaanga kwanza hadi una hakikisha umekauka kweli kweli then ndo unausaga hadi unakuwa kama unga.

Unachukua magadi pia unasaga then unachanganya vizuri then unalowanisha na maji sasa ili kuuondoa ule uvumbi vumbi (kuufanya) ushikane kidogo!

NB: Kuna utofauti wa ukali kati ya ugoro na ugoro kutokana na uchanganyaji wa hzo ingredients! Kupungua au kuzidi kwa kimojawapo ndo kuharibu ladha nzima ya ugoro.
Wee Ni mchanganyaji nn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ugoro una matumizi ya aina mbili 1;kunusa puani
Hii ukinusa tu lazima kamasi itoke halafu ile mikamasi michafu
2;kuweka mdomoni
hii ukiweka mate ya kwanza unatema mate ya pili unatema kuanzia mate ya tatu unameza
Addicted yake sasa cocaine inasubiri halaf doze inakua kubwa kwa sababu in cheap na upatikanaji wake ni easy
Halafu mzigo grade nambari one upate tumbaku ya gairo magubike inaitwa kinguu ukiwa na mzigo huo wamasai wanapanga foleni kwako kama mateja vile
NB;na product fake zipo mtaani zipo
Bas ww Ni mtumiaji mzuri sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jana nilipita mitaa ya makumbusho kuna bishoo fulani kijana nilikutana nae na kwa muonekano ni mtanashati asna tu. Baada ya dakika kadhaa nikamuona anazama mfukoni na kuibuka na ugoro chapu akafungua na kuutia mdomoni!

Nikasema kama huyu kijana anatumia hivi vitu je, kwa walio secondary si balaa? Je, nini mzuka wa kutumia ugoro, mzuka wake ukoje?

Haijajulikana mara moja athari za matumizi yake kiafya mpaka sasa kwa watumiaji wake. Hivi ugoro kama bangi tu ukikamatwa nayo si kesi hyo ama vipi?

Hivi asili ya ugoro ni kabila gani? Kwa wamasai wanaita ndiani je, kwa kabila lenu mnaitaje?

Note:
Kuna rafiki yangu aliwahi kutumia ugoro kumzima mwanamke aliyemnywea bia zake, alichukua ugoro kidogo na kuchanganya katika bia anazo tumia yule mwanamke badaa ya muda fulani mwanadada alilewa na kushindwa kujitambua. Alijibebea mwanamke huyo kiulaini na kwenda nae kwake. Mpaka sasa haijajulikana kilichotokea!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unalewesha me kuna jamaa yangu ndo vitu vyake siku moja nikamwambia hebu nionje nilishindwa kutembea nilikua naskia kizungu zungu balaa,,kiufupi ni upuuzi tu ugoro hajna mzuka wowote kama bangi
 
Inaitwa 'orgumbau' kwa kimaasai. Sio ile ya kunusa na huwa inatumiwa na wazee. Tobacco pamoja na magadi, eroo achana na hiyo kitu nchore lai. Ukiitumia na wewe sio mzoefu magoti huwa yanaisha nguvu ghafla na kichwa kinalegea hadi unatafuta sehemu ya kukaa chini. 😆 Nkaimoguarani, ushoo tapala roi!
 
Inaitwa 'orgumbau' kwa kimaasai. Sio ile ya kunusa na huwa inatumiwa na wazee. Tobacco pamoja na magadi, eroo achana na hiyo kitu nchore lai. Ukiitumia na wewe sio mzoefu magoti huwa yanaisha nguvu ghafla na kichwa kinalegea hadi unatafuta sehemu ya kukaa chini. Nkaimoguarani, ushoo tapala roi!
orpayani aroroki doi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Inaitwa 'orgumbau' kwa kimaasai. Sio ile ya kunusa na huwa inatumiwa na wazee. Tobacco pamoja na magadi, eroo achana na hiyo kitu nchore lai. Ukiitumia na wewe sio mzoefu magoti huwa yanaisha nguvu ghafla na kichwa kinalegea hadi unatafuta sehemu ya kukaa chini. Nkaimoguarani, ushoo tapala roi!
Lkn orkunbau Ni sigara bhna ndio tobako amabyo Bado hajapita kiwandani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama alivyosema Petro hapo ni kwamba, ugoro unatengenezwa kwa kukaanga tumbaku.

Yaani unakaanga kwanza hadi una hakikisha umekauka kweli kweli then ndo unausaga hadi unakuwa kama unga.

Unachukua magadi pia unasaga then unachanganya vizuri then unalowanisha na maji sasa ili kuuondoa ule uvumbi vumbi (kuufanya) ushikane kidogo!

NB: Kuna utofauti wa ukali kati ya ugoro na ugoro kutokana na uchanganyaji wa hzo ingredients! Kupungua au kuzidi kwa kimojawapo ndo kuharibu ladha nzima ya ugoro.
Asante
Kwa hiyo ugoro unaliwa ama unavutwa kama sigara?
 
Back
Top Bottom