Kuna jamaa yangu tumegrow naye tangu utoto jamaa alikuwa anapiga ugoro hata chafya hapigi...Jana nilipita mitaa ya makumbusho kuna bishoo fulani kijana nilikutana nae na kwa muonekano ni mtanashati asna tu. Baada ya dakika kadhaa nikamuona anazama mfukoni na kuibuka na ugoro chapu akafungua na kuutia mdomoni!
Nikasema kama huyu kijana anatumia hivi vitu je, kwa walio secondary si balaa? Je, nini mzuka wa kutumia ugoro, mzuka wake ukoje?
Haijajulikana mara moja athari za matumizi yake kiafya mpaka sasa kwa watumiaji wake. Hivi ugoro kama bangi tu ukikamatwa nayo si kesi hyo ama vipi?
Hivi asili ya ugoro ni kabila gani? Kwa wamasai wanaita ndiani je, kwa kabila lenu mnaitaje?
Note:
Kuna rafiki yangu aliwahi kutumia ugoro kumzima mwanamke aliyemnywea bia zake, alichukua ugoro kidogo na kuchanganya katika bia anazo tumia yule mwanamke badaa ya muda fulani mwanadada alilewa na kushindwa kujitambua. Alijibebea mwanamke huyo kiulaini na kwenda nae kwake. Mpaka sasa haijajulikana kilichotokea!
Mamndenyi angalia usije kuchanganyiwa ugoro na wahuni katka bia utadhalilika mnoMengine yanaleta ufikirishi
Mchungaji wa ugoro ama wa kanisa kuu kbsa usharika kapewaKuna jamaa yangu tumegrow naye tangu utoto jamaa alikuwa anapiga ugoro hata chafya hapigi...
Siku hizi kawa mchungaji
Kaniambia kaacha ugoro na kula kimasihara sasa anamtumikia Mungu madhabahuniMchungaji wa ugoro ama wa kanisa kuu kbsa usharika kapewa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wamasai ni wasenge muda wote wanatema tema mate kwa sababu ya kula ugoro, madhara ya kula ugoro unaharibu meno na midomo, unakata mishipa inayoshikiria midomo kwa ndani, arusha vijana wengi ugoro umewaharibuJana nilipita mitaa ya makumbusho kuna bishoo fulani kijana nilikutana nae na kwa muonekano ni mtanashati asna tu. Baada ya dakika kadhaa nikamuona anazama mfukoni na kuibuka na ugoro chapu akafungua na kuutia mdomoni!
Nikasema kama huyu kijana anatumia hivi vitu je, kwa walio secondary si balaa? Je, nini mzuka wa kutumia ugoro, mzuka wake ukoje?
Haijajulikana mara moja athari za matumizi yake kiafya mpaka sasa kwa watumiaji wake. Hivi ugoro kama bangi tu ukikamatwa nayo si kesi hyo ama vipi?
Hivi asili ya ugoro ni kabila gani? Kwa wamasai wanaita ndiani je, kwa kabila lenu mnaitaje?
Note:
Kuna rafiki yangu aliwahi kutumia ugoro kumzima mwanamke aliyemnywea bia zake, alichukua ugoro kidogo na kuchanganya katika bia anazo tumia yule mwanamke badaa ya muda fulani mwanadada alilewa na kushindwa kujitambua. Alijibebea mwanamke huyo kiulaini na kwenda nae kwake. Mpaka sasa haijajulikana kilichotokea!
I'm not a drunker,Mamndenyi angalia usije kuchanganyiwa ugoro na wahuni katka bia utadhalilika mno
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nawaza tu huyo mkaangaji anakua na Hali ganiUgoro unatengenezwa kwa kukaanga na kusaga tumbaku na magadi. Unapokuwa unaandaliwa, kaa mbali na mkaangaji...unawasha na kupalia kuliko pilipili inapokaangwa.
Wapo wanaoweka mdomoni na wapo wanaovuta puani.Asante
Kwa hiyo ugoro unaliwa ama unavutwa kama sigara?
Ina addiction ya kingese sana.... still nastruggle kujitoaUgoro una matumizi ya aina mbili 1;kunusa puani
Hii ukinusa tu lazima kamasi itoke halafu ile mikamasi michafu
2;kuweka mdomoni
hii ukiweka mate ya kwanza unatema mate ya pili unatema kuanzia mate ya tatu unameza
Addicted yake sasa cocaine inasubiri halaf doze inakua kubwa kwa sababu in cheap na upatikanaji wake ni easy
Halafu mzigo grade nambari one upate tumbaku ya gairo magubike inaitwa kinguu ukiwa na mzigo huo wamasai wanapanga foleni kwako kama mateja vile
NB;na product fake zipo mtaani zipo
Acha kuwabiw ndugu zangu Ni wasengee mkuu wew nin sasa kwani Ni wamasai ndio pekee wanakula chieeWamasai ni wasenge muda wote wanatema tema mate kwa sababu ya kula ugoro, madhara ya kula ugoro unaharibu meno na midomo, unakata mishipa inayoshikiria midomo kwa ndani, arusha vijana wengi ugoro umewaharibu
Sawa mamn denyiI'm not a drunker,
Even though I'm old enough kuzunguka huko
Jana nilipita mitaa ya makumbusho kuna bishoo fulani kijana nilikutana nae na kwa muonekano ni mtanashati asna tu. Baada ya dakika kadhaa nikamuona anazama mfukoni na kuibuka na ugoro chapu akafungua na kuutia mdomoni!
Nikasema kama huyu kijana anatumia hivi vitu je, kwa walio secondary si balaa? Je, nini mzuka wa kutumia ugoro, mzuka wake ukoje?
Haijajulikana mara moja athari za matumizi yake kiafya mpaka sasa kwa watumiaji wake. Hivi ugoro kama bangi tu ukikamatwa nayo si kesi hyo ama vipi?
Hivi asili ya ugoro ni kabila gani? Kwa wamasai wanaita ndiani je, kwa kabila lenu mnaitaje?
Note:
Kuna rafiki yangu aliwahi kutumia ugoro kumzima mwanamke aliyemnywea bia zake, alichukua ugoro kidogo na kuchanganya katika bia anazo tumia yule mwanamke badaa ya muda fulani mwanadada alilewa na kushindwa kujitambua. Alijibebea mwanamke huyo kiulaini na kwenda nae kwake. Mpaka sasa haijajulikana kilichotoke
Hii Ngisujii, ni dawa nzuri sana kwa mafua.Jana nilipita mitaa ya makumbusho kuna bishoo fulani kijana nilikutana nae na kwa muonekano ni mtanashati asna tu. Baada ya dakika kadhaa nikamuona anazama mfukoni na kuibuka na ugoro chapu akafungua na kuutia mdomoni!
Nikasema kama huyu kijana anatumia hivi vitu je, kwa walio secondary si balaa? Je, nini mzuka wa kutumia ugoro, mzuka wake ukoje?
Haijajulikana mara moja athari za matumizi yake kiafya mpaka sasa kwa watumiaji wake. Hivi ugoro kama bangi tu ukikamatwa nayo si kesi hyo ama vipi?
Hivi asili ya ugoro ni kabila gani? Kwa wamasai wanaita ndiani je, kwa kabila lenu mnaitaje?
Note:
Kuna rafiki yangu aliwahi kutumia ugoro kumzima mwanamke aliyemnywea bia zake, alichukua ugoro kidogo na kuchanganya katika bia anazo tumia yule mwanamke badaa ya muda fulani mwanadada alilewa na kushindwa kujitambua. Alijibebea mwanamke huyo kiulaini na kwenda nae kwake. Mpaka sasa haijajulikana kilichotokea!
Biashara nzuri sana mkuu baada ya kubeli kupigwa marufukuMimi supply hiyo mambo Moro na pwani
Kuna jamaa kitaa alikuwa anagonga chupa 2 daily miguu ikavimba alafu akawa anatetemeka kinoma akiwa kwenye mishe zake alafu ni mshua yaani, saiv kahamia kwenye smartHauwezi kumakataza mtu.
Kula ugoro.wakati double kick inauzwaa dukani.ni kujiongeza mwenyewe.kuna dogo mmoja mpaka kiuno kimelegea sababu ya double Kiki .yaani akitembea Kama anavutwa
Ugoro unavutwa kupitia puani au unaliwa(kwa kuwekwa mdomoni chini ya ulimi kama ilivyo 'kubeli'). Kinachotakiwa ni stimu/kilevi kinachopatikana tu kutoka kwenye ugoro huo.Matumizi ya ugoro ni kula ama kuvuta?
Yap alright , kipindi fulani nilikuwa jengo la KFC hapo usalama ya kariakoo nikiwa muajiliwa wa mnyonyaji mmoja , sasa siku nalalamika mafua kuna masai wanaolinda kwenye kampuni moja ya kubeti ndani ya hilo jengo akasema weka hii dawaTiba asili ya mafua na kuzibua nerves.. Tumia kama dawa na si kama kilevi