Kuna mwana JF anatumia ugoro?

Kuna mwana JF anatumia ugoro?

Jana nilipita mitaa ya makumbusho Kuna bishoo fln kijana nilikutana nae na kwa muonekano Ni mtanashati Sana tu .baada ya dakik kadhaa nikamuona anazama mfukoni na kuibuka na ugoro chapu akafungua na kuutia mdomoni ,nikasema kama huyu kijn anatumia HV vitu je kwa walio secondary s balah ..je nn mzuka wa kutumia ugoro mzuka wake ukoje

Haijajulikana Mara moja adhari za matumiz yake kiafya mpk sasa kwa watumiaji wake
HV ugoro c Kama bangi tu ukikamatwa nayo si kesi hyo ama vip ?

HV asili ya ugoro Ni kabila gani
Kwa wamasai wanaita ndiani je kwa kabila lenu mnaitaje ?

Note
Kuna rfk angu aliwai kutumia ugoro kumzima mwanamke aliyemnywea bia zake alichukua ugoro kidg na kuchanganya katik bia anazo tumia yule mwanamke badaa ya muda fln mwanadada alilewa na kushindwa kujitambua alijibebea mwanMke huyo kiulaini na kwenda nae kwake .mkp Sasa haijajulikana kilichotokea

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nasikia eti inaleta nyege kwa mwanamke akitumiA
 
Wamasai wanatuharibia sana vijana wenzetu
Wakija mjini wanawafundisha kula ugoro .wanatema mate Kama nyoka.
Bado Ana double kick,Ana Winston,Ana bangi.kijana ukimuona sura imekomaaa kabla ya muda wake
Hatari hili nadhnai mamla ya dawa ilitazame na hili

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ile ni fresh drugs haina chemical yoyote ni kama bhangi tu. ila madhara yake nasikia ni yanajikusanya baadae yanatengeneza TB japo nafikiri ni propaganda za Akina team Janabi

Na saratani vile vile babu yetu mdomo uliota kidonda(ile sehemu alokuwa anaweka ugoro kwa ndani ya mdomo)kile kidonda kadri siku zinasongea kimekuwa kikubwa hadi mdomo wenyewe ukaanza kuziba sauti akiongea inatokea pale kwenye kidonda akaanza kunuka hadi mwishowe tulipokezana chepe maana aling'ata shuka
 
Umejuaje mkuu? Yani navyovutaga lip ya chini mdoni halafu naumwaga na kuachia lip inaroll maamae kitu kinastumulate balaa.

Wakati huo wewe hapo Kwa shemeji Yako sebuleni unavizia dogo mtoto wa dada yako abakishe msosi ubugie.
Watu wengi wanaokaa kwa dada zao huwa wanatumia ugoro kama kituliza maumivu ya kulala kwenye sofa sebuleni
 
Mie natamani kujua unatengenezwa na nini
Kama alivyosema Petro hapo ni kwamba, ugoro unatengenezwa kwa kukaanga tumbaku.

Yaani unakaanga kwanza hadi una hakikisha umekauka kweli kweli then ndo unausaga hadi unakuwa kama unga.

Unachukua magadi pia unasaga then unachanganya vizuri then unalowanisha na maji sasa ili kuuondoa ule uvumbi vumbi (kuufanya) ushikane kidogo!

NB: Kuna utofauti wa ukali kati ya ugoro na ugoro kutokana na uchanganyaji wa hzo ingredients! Kupungua au kuzidi kwa kimojawapo ndo kuharibu ladha nzima ya ugoro.
 
Ugoro una matumizi ya aina mbili 1;kunusa puani
Hii ukinusa tu lazima kamasi itoke halafu ile mikamasi michafu
2;kuweka mdomoni
hii ukiweka mate ya kwanza unatema mate ya pili unatema kuanzia mate ya tatu unameza
Addicted yake sasa cocaine inasubiri halaf doze inakua kubwa kwa sababu in cheap na upatikanaji wake ni easy
Halafu mzigo grade nambari one upate tumbaku ya gairo magubike inaitwa kinguu ukiwa na mzigo huo wamasai wanapanga foleni kwako kama mateja vile
NB;na product fake zipo mtaani zipo
 
Back
Top Bottom