Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

Ni member ni maarufu MMU jina lake linaanza na T..
The Finest au?

Nambie manake ni kakangu toka ntoke ntakusaidia kumwaga sera! Usifiche maradhi Jux, jidondoshe ntakudaka!
 
wee huna hata nyumba
ilibebwa na mafuriko

I doubt it.
Hahaha! Hivi kumbe bado anaishi kwa balozi mpaka leo?..hajapatiwa hema mabwepande?

Amesema jina la huyo mtesa moyo linaanzia na T, upo hapo mama?
 
The Finest au?

Nambie manake ni kakangu toka ntoke ntakusaidia kumwaga sera! Usifiche maradhi Jux, jidondoshe ntakudaka!

kampenda TB baada ya kuona kanyakua kitita cha Tzs 50k yaani huyu jux ni noma..
 
poleni mlio na TECHNO...Jux ndio hamumuoni ng'ooo!nimzurije?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom