BumbleBeeBot
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 427
- 694
Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni.
Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa kufanya hivyo.?
Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa kufanya hivyo.?