Inawezekabisa. Ni rahisi sana. Huwa wanaangalia nani mtu wake wa karibu ndiyo wanamtishia kuwa mmeiba wote simu. So ili kujikwamua wanamwambia mpigie simu kuwa muonane. Akifika ishu inaishia hapo.Okay inamaana ukimpata mwaminifu inawezekana.

Hakika.Hilo linawezekana Ulaya na nchi zilizoendelea mkuu,Hapa Bongo huwa ni porojo za mitandaoni tu!,Simu ikiibwa au kupotea andika Maumivu!
Simu itapatikana kulingana na ukubwa wa kesi , mfano kesi ya mauaji, kesi ya uporaji wa kiasi kikubwa cha pesa.Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni.
Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa kufanya hivyo.?