Kuna michepuko ni takataka kabisa

kama nihivyo kwanini unashindwa kumuacha?
 
Mke wa deep akipata magonjwa ya zinaa,deep anamuita malaya na kesi juu kwa wazazi kwa kumuambikiza gono aiseeeeee kuna wanawake wana maisha ya mateso kisa ndoa na vinjemba visivyotulia
 
For me naona jamaa ndio akili hana na huyo manzi anatumia udhaifu wake kama fimbo ya kumchampia
 
Sasa udhaifu wangu uko wapi?

Ulitaka nimtelekeze wife nikalale na Mchepuko ndo uamini Niko strong?

Ebu acha mentality za ivo mkuu
Wewe ni dhaifu kwasababu unaendeshwa na ngono badala ya akili huyo demu anakupanda akili kwa kumzoesha mambo ya kijinga kama hayo, mchepuko hapaswi kumuhudumia kwa kiwango hicho hata kidogo hizo gharama unazotumia kwa huyo demu utakuja kujutia baadae ukishapigwa na kitu kwa hapa ni ngumu kunielewa ila ni suala tu la muda utanielewa
 
Vituko vyake sjamzuia asifanye,
Ila angalau awe na lepe la aibu na utu kidg, mwenzie anaumwa hata hajali.

Hajui ustawi wa mwenzie ndo unafanya ata yeye astawi uko aliko?
Mtu kakosa aibu miaka yote hiyo aje kuwa na aibu leo? Huyo ndio alivyo hatokaa abadilike na hili unalijua ila unajitoa ufahamu. Shauri zako maisha ni yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…