Naunga mkonoMkuu wanawake wote wanazo nguvu za kumuendesha mwananume watakavyo ila sasa wakisha olewa wengi wana loose kwani kaleee kauoga ka ndoa kanawa badilisha.
Ukitaka kuhakiki hilo uliza yeyote aliye pa mchepuko atathinitisha hili.
Na ikiwa umeoa mchepuko halafu akakuendeaha sasa hapo ndo unakuwa mumebwege
Sio gharama kubwa kiivyo mkuu, ningekua nmemjenge,kumsomesha au kuwajengea kwao ungepaswa kunilaumu.Wewe ni dhaifu kwasababu unaendeshwa na ngono badala ya akili huyo demu anakupanda akili kwa kumzoesha mambo ya kijinga kama hayo, mchepuko hapaswi kumuhudumia kwa kiwango hicho hata kidogo hizo gharama unazotumia kwa huyo demu utakuja kujutia baadae ukishapigwa na kitu kwa hapa ni ngumu kunielewa ila ni suala tu la muda utanielewa
Acha michepuko Kaa na wako!Ni hivi,
Ijumaa baada ya kufunga duka nlkua nna ratiba ya kwenda kwake, ghafla nikapewa taarifa MKE wangu kakimbizwa ghafla hospitali, analalamika Tumbo linaamuuma sana.
Kanipigia kuniuliza "vipi mbona ufiki"
Nikamtaarifu sitoweza kuja kwako, niko njiani naelekea hospitali, mke wangu kakimbizwa ghafla. Nashangaa ananitumia sms za kipumbavu, nikaona asije niharibia Siku, nikapata ajali barabarani, sikuzijibu sms zake.
Baadae kanipigia Akisema "Sasa Ni pesa ya matumizi vipi, hamna chochote cha kupika uku? "
Nikamwambia "nenda Duka la mangi Apo jirani, akakupe vitu unavyohitaji vya kupika, nkija ntamlipa pesa yake". Baadae kanirudishia mrejesho kua kamkuta mkewe, kasema hakopeshi.
Nikamwambia, Basi tumia balance yako, nunulia vitu vyote vya kupika, utanipa hesabu Kisha ntaifidia nikija uko kwako. Kasema sawa.
Tangu juzi sijakwenda kwake wala kumpigia Simu, nmetuliza akili namuuguza wife kwanza.
Leo ananiuliza hivi namchukuliaje,
Hata Salam kuulizia tu mgojwa niliemtaarifu anaumwa kapelekwa hospitali ghafla anaendeleaje, hamna.
Anachoulizia direct Ni pesa zake za matumizi nilizoahidi ntafidia baada ya kuzitumia kugharamia chakula chake mwenyewe.
HUYU MWANAMKE HANA UTU, UBINADAMU WALA USTAARABU KABISA![]()
Michepuko sio deal, siku hizi wanataka ku dominate majimbo ya watu na wengi wao ni washirikina balaaNi hivi,

Ha ha ha ...una rahisisha Sana mkuu eeehKwani hapo shida nini mkuu?
-Unga robo: 500
-Kitunguu kidogo: 50
-Mchicha: 100
-Mafuta :100
-Maharage : 500
-Nyanya: 200
Total inakuja 1450. Si yeye shida ni kitu cha kupika!? Mkaa au gesi ilikuwepo,maji na vitu vyote vilikuwepo. Mtumie mchanganuo huo na mtumie hiyo hela. Isizidi hiyo tafadhali.
Uone kama kesi haitaisha

Dah! Umeandika kwa ukali mno dadaAsa wewe unataka awe na utu upi wewe mwenyewe huna utu ungekuwa nao usingemsaliti mkeo
Halafu unategemea nini kwa mchepuko haswa et ajali mkeo ili iwejee wewe mwenyewe humpendi mamajay halafu yeye ndio ajifanye mnafki
Uliona wapi mchepuko ana utu na mkeo… wewe mlipe pesa yake