Tena wengine wanajisahaulisha kama na wao wanamichepuko, eti ni wema kwa wenzi wao. Hahahaaaa..... Jf kuna mambo.Kuna Watu wamebahatika michepuko yao haiwasumbui, wanaona wenzao Kama hatuna akili vile
my friend, mwanamke kuwa tu mchepuko, ni kupoteza akili yote. hajawahi kutokea mwanamke mchepuko mwenye akili hata mmoja. we angalia hata wanawake waliozaa na waume za watu, ni machizi, na huwa anaamini ana haki ya kupendwa kuliko mwenye mali. hata hivyo wanaume tunatakaga tu sisi wenyewe kufokewa, kweli unaanza kushushiwa heshima na mchepuko wakati wife kajaa tele nyumbani? na usikute hapo mwanaume ni 40s hako kamchepuko ni 20s. Mwanaume kauza utu wake wote kwa kischana kama icho.Yaani pesa ni zangu, nazitafuta kwa jasho langu, eti jitu from nowhere linifokee kunilazimisha nizitumie pesa zangu ili kutimiza mahitaji yake! Aisee huyo labda sio mimi, vinginevyo nimerogwa.
Afu kuna watu sijui wakoje, yaani wanapenda sana kujipa umuhimu mkubwa wasiokuwa nao kwenye maisha ya watu wengine.
Unashangaa jitu kukutanulia tu mapaja siku mbili tatu, tayari lishajipa hati miliki ya muda wako na uchumi wako, utadhani lina hisa yoyote kwenye harakati zako.
Hizi ni takataka kabisa, tena za kutupa dustbin haraka sana.
View attachment 2838659View attachment 2838661View attachment 2838663View attachment 2838664my
Nyuzi zako zingine zingine ni nzuri niseme tu ukweli, ila nyuzi za umalaya wako na mama J ndo zinatia kichefuchefu.Dah! Umeandika kwa ukali mno dada![]()
Sasa si usepe tu. maana kila siku ni drama na wewe umenasa tu hapo unangoja nini ? akuloge auAaah wapi, Huyu mwanamke tamthilia za kifilipino zinamdanganya Sana.
Anajikuta wa muhimu Sana kuliko MKE wangu, tena anatengeneza mazngira kunipima kati ya wife na yeye ntaegemea upande upi.
Asichojua ni kwamba,
Wife Ni muhimu Sana kuliko yeye.
Yeye ukiondoa TU icho kidudu chake, Hana Cha ziada kuoffer kwenye maisha yangu.
You are stuck in toxc relationship and you like it 😀 😎Kikawaida uwa namhudumia kila Siku iendayo kwa Mungu, ikitokea Niko mbali namwambia atumie pesa zake, nkirud ntamrejeshea. Na Huwa nafanya hivyo mara kwa Mara,na yeye analitambua hilo.
This time,
hii situation imenikuta kipind namuuguza wife. Na wife wangu akiumwa kdg TU akili yangu inavurugika kabisa, maana she's my everything kuanzia malezi ya familia Hadi ustawi wa uchumi wangu kiujumla.
Kinachonikera kwake sio pesa alizoomba,
Ni jins gan alivyoshindwa kuthamini Wala kujali suala la mke wangu kuumwa na taarifa nmempa.
Hata salamu Wala kuuliza anaendeleaje hamna, anadai TU pesa zake.
Huu Ni ukosefu wa utu uliopitiliza
mama j mtamu kuliko mkewee hapo ndo jamaa panamfanya achanganyikiwe jamani tusimhukumuu..!!Nyuzi zako zingine zingine ni nzuri niseme tu ukweli, ila nyuzi za umalaya wako na mama J ndo zinatia kichefuchefu.
🤣Sio kweli,nishakutana nazo nyingi,Hii ya kwake Ni the best
Katafute mchepuko mwingine uache drama. kwani ni mamaako mzazi huyo kwamba huwezi kubadilisha?Kuna Watu wamebahatika michepuko yao haiwasumbui, wanaona wenzao Kama hatuna akili vile
Angemuoa mama J sasa.mama j mtamu kuliko mkewee hapo ndo jamaa panamfanya achanganyikiwe jamani tusimhukumuu..!!
mkuu utamu wa mama j umezidiii 😀 😀Katafute mchepuko mwingine uache drama. kwani ni mamaako mzazi huyo kwamba huwezi kubadilisha?
😀😀😀amesema kakosa sababu ya kumtimua mkewe ila ndo anaitafutaa... atamtimua kama mbwaaaAngemuoa mama J sasa.
Aaaargh akatafute nyingine tamu kuliko hiyo.mkuu utamu wa mama j umezidiii 😀 😀
🤣mkuu utamu wa mama j umezidiii 😀 😀
Sio kweli,nishakutana nazo nyingi,Hii ya kwake Ni the best
Kila siku ukiweka mpya liniii unaweka upo busy kwa mama jay huku ebu twende huyu deepond tumuache na mapenzi yake mwanaume gani anapelekeshwa na mchepuko kama ana k ya goldUmefutwa kipenzi,, nikiweka upya nitakutag wakwanza