Huwa nakushauri toka moyoni wala sikuonei wivu.Ha ha ha....aisee kweli ulisema hatochukua round
Halafu ulipotea sanaKila siku ukiweka mpya liniii unaweka upo busy kwa mama jay huku ebu twende huyu deepond tumuache na mapenzi yake mwanaume gani anapelekeshwa na mchepuko kama ana k ya gold
Nipo mkaka pa kunipata unapajua kiwanja chako za zamani cha makapukuHalafu ulipotea sana
Tafuteni mganga wa Majay sio fake kabisahamjui nimeona hata mimi
teh teh
zamani alikuwa anaitwa mama J ila kwa sasa jina limebadilika na kuwa Majay hahahahahah,,,anaendelea kuwa wa viwango vya juu zaidi
umeonaeee, huyu mganga wake bado yuko haiTafuteni mganga wa Majay sio fake kanisa
Umempangishia hiyo sio gharama? unamwachia matumizi ya kila siku kama vile ni mkeo na bado umemfungulia biashara hayo sio matumizi ya mtu mwenye akili kuwekeza kwa mchepuko mkuu badilika kwani mwanamke ni yeye tu? Demu hakupendi wewe unatumia nguvu kubwa kwake wenzako michepuko ndio inawapenda wewe sijui unafeli wapi? Na bado demu anakuendeshaSio gharama kubwa kiivyo mkuu, ningekua nmemjenge,kumsomesha au kuwajengea kwao ungepaswa kunilaumu.
Na ndio zinazowafanya wanaume kuwa wanaume!😁😁 sio hata kazi ni harakati za pimbi tu.
Wewe ni mwamba sana🤣🤣🤣Na ndio zinazowafanya wanaume kuwa wanaume!
Ukipika vinakuwa kama vya kuchezea watoto kwenye makopo tulikuwa tunapika enzi zetu.hahhahaah mchicha wa 100, mafuta ya 100 na kitunguu cha 50 vikoje?
teh teh teh
Kiukweli kabisa isingekuwa magonjwa na migundu wanayotembea nayo binadamu, mwanaume kuwa na mchepuko haitakiwi kuwa big deal. 😂Wewe ni mwamba sana🤣🤣🤣
Apo kwenye kiroho sasa, umeshaniacha siku nyingi sana , yani wewe unatumia ndege mimi bado nipo kwenye vigari vya kukokota kwa farasi.Kiukweli kabisa isingekuwa magonjwa na migundu wanayotembea nayo binadamu, mwanaume kuwa na mchepuko haitakiwi kuwa big deal. 😂
Kiimani Wengine sisi warohoni, mtu akitoka mchepukoni unamuona kabisa ni mchafu kiroho, akianza kunipumulia na mimi mambo yangu yanakufa kiroho.
Demu anaomba mkwanja kibabe Kama vile aliuweka 😂Ha ha ha...kwani Wana ugomvi mkuu?
Migoma yako sijui huwa unaitoa wapi yote vimeo...jaribu kutafuta wenye heshimaNi hivi,
Ijumaa baada ya kufunga duka nlkua nna ratiba ya kwenda kwake, ghafla nikapewa taarifa MKE wangu kakimbizwa ghafla hospitali, analalamika Tumbo linaamuuma sana.
Kanipigia kuniuliza "vipi mbona ufiki"
Nikamtaarifu sitoweza kuja kwako, niko njiani naelekea hospitali, mke wangu kakimbizwa ghafla. Nashangaa ananitumia sms za kipumbavu, nikaona asije niharibia Siku, nikapata ajali barabarani, sikuzijibu sms zake.
Baadae kanipigia Akisema "Sasa Ni pesa ya matumizi vipi, hamna chochote cha kupika uku? "
Nikamwambia "nenda Duka la mangi Apo jirani, akakupe vitu unavyohitaji vya kupika, nkija ntamlipa pesa yake". Baadae kanirudishia mrejesho kua kamkuta mkewe, kasema hakopeshi.
Nikamwambia, Basi tumia balance yako, nunulia vitu vyote vya kupika, utanipa hesabu Kisha ntaifidia nikija uko kwako. Kasema sawa.
Tangu juzi sijakwenda kwake wala kumpigia Simu, nmetuliza akili namuuguza wife kwanza.
Leo ananiuliza hivi namchukuliaje,
Hata Salam kuulizia tu mgojwa niliemtaarifu anaumwa kapelekwa hospitali ghafla anaendeleaje, hamna.
Anachoulizia direct Ni pesa zake za matumizi nilizoahidi ntafidia baada ya kuzitumia kugharamia chakula chake mwenyewe.
HUYU MWANAMKE HANA UTU, UBINADAMU WALA USTAARABU KABISA![]()
Ndo siku unakufa umetoka kwa mchepuko, utaeleza nini kwa Mwenyezi-Mungu? Unadhani kuna hasara gani kubwa hapa ulimwenguni kama adhabu ya Mwenyezi-Mungu tena itakuwa ni adhabu ya milele?🤣
Jamaa mwenyewe anakiri utamu anaoupata ni "the best"
Hapo inakuwa ngumu kumuacha, au kutafuta mwingine. Maana kila akiwaza utamu, anajiuliza ataupata wapi utamu mzuri kama ule. Yaani anaweza akapata mchepuko mwingine ila ishu je K yake itakuwa tamu kama ya majay au zaidi yake?