Prof Kibogoyo
Senior Member
- May 31, 2016
- 112
- 164
Ni kweli umena mkuu. Tatizo la bwana mkubwa apende ushauri ina maana wasaidizi wake hawajaliona hili? Sector ya utalii hawajaliona hili?
Unapotosha.
Rais hakuongelea "ada ndogo" na "ada kubwa". Rais Magufuli ameongelea kodi.
Mkisoma hamuelewi basi hata kusikia hamsikii?
Haya wewe ndio unaelewa kuliko wengine. Hivi ile Mnayokata kwenye miamala ya simu Pesa na benki ni nani anayetakiwa kulipa!?
WE BURE KABISA!!Nimeanza kukupenda kama sasa umejirekebisha na kuanza kumsifu Mkatoliki.
Haha malizia kwa kusema "VAT" na "Bila VAT"Unapotosha.
Rais hakuongelea "ada ndogo" na "ada kubwa". Rais Magufuli ameongelea kodi.
Mkisoma hamuelewi basi hata kusikia hamsikii?
Hii ndio shida ya baadhi ya KLF au HGK scholar kuchambua taarifa ya kiuchumi. Nani kati yenu haelewi?Unapotosha.
Rais hakuongelea "ada ndogo" na "ada kubwa". Rais Magufuli ameongelea kodi.
Mkisoma hamuelewi basi hata kusikia hamsikii?
Maneno kuntu kabisa hayo fika pale kipawa na banana uwakute wafanyabiashara ya samaki wabichi utachoka jinsi wanavyovutia wateja samaki mfano aina ya changu huyo yupo karibu meza zote lakini watakushawishi kwa maneno tofauti tofauti mara hawa ni wa leo leo huyu, mwingine hawa hawakuwekwa kwenye frigi,mwingine ukinunua nitakupa mmoja bure hahaaaa hadi unashawishika kununua kwa mmoja wao.Biashara ni mbinu za kuzidiana kete vinginevyo itakudodea,Mleta mada pia imewasilisha hoja yako safi kabisa ubarikiwe,achana na hao nyumbu wa Lumumba kwao wao kila asemacho JPM ni makofi tu hao hawana msaada kwake na kwa vile na yeye hupita humu hahangaiki na michango yao maana haina changamoto.Alichosema MH.raisi mimi binafsi simlaumu ila naelekeza lawama zangu kwa washauri wake wa uchumi hasa waziri wa fedha maana JPM hakuna aliposomea uchumi.Hilo eneo ndilo limekuwa namba moja miaka yote kutupatia pesa za kigeni leo hii tunaongelea kirahisi kabisa kwamba wacha waende,ni kweli wataenda maana twiga aliyeko Serengeti ni sawa na aliyeko Kenya na Afrika kusini pia.wawezaje kuwa na bidhaa sokoni bila kujua wenzio bidhaa hiyo hiyo wanaiuzaje na ufanyeje ile uvute wateja waje kwako na wasiende kwao.NI suala la muda tu watatukuta hapa hapa JF siku mambo hayakwenda kama walivyotegemea.BIASHARA ushawishi
Kwa kweli Rais amekosea kusema hivyo .... Watalii wakija hapa faida zake siyo tu kulipa kodi bali wanaleta pesa za kigeni wanazibadilisha na kuzitumia. Kwenye kuzitumia watakula, watakunywa na watanunua vizawadi!!Kwanza kuna tofauti kubwa sana kwa ujio wa watalii wachache na wengi kwa wananchi wa kawaida mmoja mmoja.
Hili hata akienda kuwauliza wale wakina mama wa kimasai wauza shanga wanaweza kumuelimisha.
Sawa mkuu lakini vipi akisikia kuna wapo wanyama anaweza kuwaona bila VAT bado atakuja kwako kwa vile tu yeye hana tatizo la ulipaji wa VAT??SIO KWELI.Wanaopiga kelele waelewe kuwa mzungu anaheshimu sana ulipaji wa kodi. Tena tukijitegemea itakuwa nafuu kwao kwani ziara za kutembeza bakuli zitapungua. Kwa taarifa sahihi ni kwamba tour operators hawataki uwazi katika mapato yao na wanaogopa hizo return za VAT zitawaumbua
Faidha ni wewe hukumuelewa nini?alichochambua ni maelezo ya ziada ya kiuchumi kuhusu hiyo VAT ambayo ndo inapelekea kupanda kwa malipo jamani of which ni kweli.Unapotosha.
Rais hakuongelea "ada ndogo" na "ada kubwa". Rais Magufuli ameongelea kodi.
Mkisoma hamuelewi basi hata kusikia hamsikii?
Wapewape ee vidonge vyao wakimeza wakitema .....................Kwa kweli Rais amekosea kusema hivyo .... Watalii wakija hapa faida zake siyo tu kulipa kodi bali wanaleta pesa za kigeni wanazibadilisha na kuzitumia. Kwenye kuzitumia watakula, watakunywa na watanunua vizawadi!!
On the other hand, kinacholalamikiwa siyo watalikulipa au kutokulipa kodi bali ni gharama kubwa za kuja kama Mtalii Tanzania. After all hiyo VAT wanalipa indirect kama Watanzania wengine!!
Tanzania inabidi tujue kuwa pamoja na kuwa na Mbuga nyingi na kubwa lakini bado tujue kuwa siyo peke yetu Africa tulio na hizo mbuga. Sidhani kama kuna wanyama ambo wako Tanzania hawako kwenye nchi nyingine za wenzetu Africa. Wakati sisi tunawasimanga wenzetu wanawaita.
Halafu kitu kingine cha kujua siyo kwamba watalii wote ni matajiri. Wengi wao ni maskini tu kama sisi ila wana hiyo bobby ya kutembea na kuona dunia. Wanakwenda kwenye nchi za wenzetu zaidi kwa vile wameimalisha infrastracture zao mpaka kuna Camping sites ambazo ni malazi ya gharama nafuu kwa watalii.
Nchi kama Botswana au namibia ambazo zina Mbuga moja moja tu zinavuta watalii wengi kuliko sisi.
Kwa kulalizia nakubaliana kabisa na mleta mada ... gharama kubwa kwa watalii zingeelekezwa kwa wale wanaofanya Trophy hunting siyo hawa wa kutembelea mbuga na kukaa pwani!!
poor you !!!mbona kuna kitu kinaitwa contract ammendment hiyo ni nini?acha maneno ya jk, mkataba ukishaandikwa hauridiwi, subiri kuandika mpya kwa kampuni mpya.