Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa

Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa

Unapotosha.

Rais hakuongelea "ada ndogo" na "ada kubwa". Rais Magufuli ameongelea kodi.

Mkisoma hamuelewi basi hata kusikia hamsikii?
Hivi VAT ni Ada au kodi,nisaidie plz mwenzaenu mimi Nilot sio mbantu
 
Paris inatembelewa na watalii milion 35 kwa mwaka. Hawana kitu inayoitwa VAT.
 
Unapotosha.

Rais hakuongelea "ada ndogo" na "ada kubwa". Rais Magufuli ameongelea kodi.

Mkisoma hamuelewi basi hata kusikia hamsikii?
Ada na kodi,tozo tofauti ni IPI?angalia hoja hapa sii darasa la kiswahili
 
Unapotosha.

Rais hakuongelea "ada ndogo" na "ada kubwa". Rais Magufuli ameongelea kodi.

Mkisoma hamuelewi basi hata kusikia hamsikii?

We kila kitu lazima upinge punguza maruhani
 
Naunga mkono juhudi za Rais kuongeza wigo wa pato la taifa, lakini anahitaji wachumi wazuri kumshauri kwa sababu kuna mambo anapotoshwa. Mojawapo ni hili la watalii. Rais amesema ameongeza ada ya watalii (VAT) na asiyetaka asije. Anasema ni heri kupata watalii wachache wanaolipa ada kubwa kuliko watalii wengi wanaolipa ada ndogo. Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa;

#Mosi, kanuni za uchumi zinaelekeza kutoza ada ndogo kwa rasilimali isiyoisha na kutoza ada kubwa kwa rasilimali inayoisha. Kwa mfano watalii wanapaswa kutozwa ada ndogo kwa sababu hawapunguzi chochote kuja kutembelea Tanzania, na sekta ya madini/gesi zinapaswa kutozwa ada kubwa kwa sababu zinapungua kadri zinavyotumika (ipo siku zitaisha).

Rasilimali ambazo zikitumika zinaisha zinapaswa kuwa na ada kubwa, na zile ambazo zikitumika haziishi ada yake inapaswa kuwa ndogo. Simba wa mikumi hawezi kufa kwa kuangaliwa na watalii milioni 1 au kupigwa maelfu ya picha, wala mlima Kilimanjaro hauwezi kudidimia kwa sababu watalii wengi wameupanda. Kwahiyo ada ya utalii inapaswa kuwa ndogo (affordable).

Lakini ilivyo kwa sasa ni vice versa. Rasilimali zinazoisha kama gesi na madini zinatozwa ada ndogo na zile zisizoisha kama utalii zinatozwa ada kubwa. Rais anapaswa kushauriwa vzr zaidi ktk hili.

#Pili; Si kweli kwamba tukipata watalii wachache wanaolipa ada kubwa mapato yetu yataongezeka kama alivyosema Rais Magufuli. Mapato yangeongezeka kama tungepata watalii wengi wanaolipa ada ndogo si watalii wachache wanaolipa ada kubwa. Kanuni za uchumi zinaeleza kuwa biashara nzuri ni ile yenye faida ndogo lakini ina wateja wengi, na sio yenye faida kubwa lakini ina wateja wachache.

Ndio maana Bakhresa anauza juice na maandazi lakini anawazidi wanaouza magari. Hii ni kwa sababu Bakhresa anapata faida ndogo kwa watu wengi tofauti na wauza magari wanaopata faida kubwa kwa watu wachache. Bakhresa anaweza kupata faida ya sh.200 tu kwa kila juice lakini akauza juice milioni moja kwa siku. So akapata faida ya milioni 200 daily. Muuza magari anaweza kupata faida ya milioni 10 kwa kila gari lakini akauza gari 1 tu kwa siku. Kwa hesabu hii Bakhresa amemzidi muuza magari kwa milioni 190 kila siku.

Kwahiyo kama tukitaka kufanikiwa ktk sekta ya utalii kodi ya VAT iondolewe. Hii itafanya kupata watalii wengi watakaolipa ada ndogo hivyo kupata mapato makubwa, kuliko sasa hivi ambapo tunapata watalii wachache wanaolipa ada kubwa na hivyo kuambulia mapato madogo.

Na athari zake zimeanza kuonekana kwa sababu idadi ya watalii imepungua maradufu tangu gharama zilipopandishwa. Wengi wamekimbilia Kenya. Hakuna mtalii anayeweza kulipa mamia ya dola kumuona Simba Tarangire wakati nusu ya pesa hiyo anaweza kuitumia kumuona Simba mbuga ya Tsavo nchini Kenya. Hii si dalili nzuri kwa ustawi wa uchumi wetu. Nitaeleza vizuri kwenye #JamboLeo ya jumanne July 26.

Malisa G.J
Malisa
Nadhani ungeanza kwanza na ufafanuzi kama Ada ndio Kodi (Fees = Tax) na Kodi ndio Ada (Tax = Fees)..

Otherwise unaweza ukajitutumua kutuandikia bandiko reefu lakini off track.. na lenye kupotosha...
 
Unapotosha.

Rais hakuongelea "ada ndogo" na "ada kubwa". Rais Magufuli ameongelea kodi.

Mkisoma hamuelewi basi hata kusikia hamsikii?
Me i think hujaelewa hii mada inazungumzia nini umekurupuka kutoka usingizi, hii ndio athari yakuingiza siasa kwenye vtu serious kama hivi
 
Hivi ninyi UKAWA anavyokngea Rais huwa mnamsikiliza? Ni wapi Rais kaongelea ada ndogo na kubwa? Inavyoonekana huu mtandao wa wakwepa kodi ni mkubwa na umejificha nyuma ya nyumba ya UKAWA
 
Unaelewa tofauti ya kodi(tax) na ada(fees) wewe? Niambie malipo ya kuzuru mbuga za wanyama yanawezaje kuwa tax? How do they calculate in terms of percentage if it's tax?

Panya ni panya tu, hata ukimwita buku bado ni panya. Mtoa mada ameweka wazi kwamba kuongeza tozo kutafukuza watalii. Hayo tofauti kati ya 'tax' na 'fee' au 'chaji' ni irrelevant.
 
Naunga mkono juhudi za Rais kuongeza wigo wa pato la taifa, lakini anahitaji wachumi wazuri kumshauri kwa sababu kuna mambo anapotoshwa. Mojawapo ni hili la watalii. Rais amesema ameongeza ada ya watalii (VAT) na asiyetaka asije. Anasema ni heri kupata watalii wachache wanaolipa ada kubwa kuliko watalii wengi wanaolipa ada ndogo. Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa;

#Mosi, kanuni za uchumi zinaelekeza kutoza ada ndogo kwa rasilimali isiyoisha na kutoza ada kubwa kwa rasilimali inayoisha. Kwa mfano watalii wanapaswa kutozwa ada ndogo kwa sababu hawapunguzi chochote kuja kutembelea Tanzania, na sekta ya madini/gesi zinapaswa kutozwa ada kubwa kwa sababu zinapungua kadri zinavyotumika (ipo siku zitaisha).

Rasilimali ambazo zikitumika zinaisha zinapaswa kuwa na ada kubwa, na zile ambazo zikitumika haziishi ada yake inapaswa kuwa ndogo. Simba wa mikumi hawezi kufa kwa kuangaliwa na watalii milioni 1 au kupigwa maelfu ya picha, wala mlima Kilimanjaro hauwezi kudidimia kwa sababu watalii wengi wameupanda. Kwahiyo ada ya utalii inapaswa kuwa ndogo (affordable).

Lakini ilivyo kwa sasa ni vice versa. Rasilimali zinazoisha kama gesi na madini zinatozwa ada ndogo na zile zisizoisha kama utalii zinatozwa ada kubwa. Rais anapaswa kushauriwa vzr zaidi ktk hili.

#Pili; Si kweli kwamba tukipata watalii wachache wanaolipa ada kubwa mapato yetu yataongezeka kama alivyosema Rais Magufuli. Mapato yangeongezeka kama tungepata watalii wengi wanaolipa ada ndogo si watalii wachache wanaolipa ada kubwa. Kanuni za uchumi zinaeleza kuwa biashara nzuri ni ile yenye faida ndogo lakini ina wateja wengi, na sio yenye faida kubwa lakini ina wateja wachache.

Ndio maana Bakhresa anauza juice na maandazi lakini anawazidi wanaouza magari. Hii ni kwa sababu Bakhresa anapata faida ndogo kwa watu wengi tofauti na wauza magari wanaopata faida kubwa kwa watu wachache. Bakhresa anaweza kupata faida ya sh.200 tu kwa kila juice lakini akauza juice milioni moja kwa siku. So akapata faida ya milioni 200 daily. Muuza magari anaweza kupata faida ya milioni 10 kwa kila gari lakini akauza gari 1 tu kwa siku. Kwa hesabu hii Bakhresa amemzidi muuza magari kwa milioni 190 kila siku.

Kwahiyo kama tukitaka kufanikiwa ktk sekta ya utalii kodi ya VAT iondolewe. Hii itafanya kupata watalii wengi watakaolipa ada ndogo hivyo kupata mapato makubwa, kuliko sasa hivi ambapo tunapata watalii wachache wanaolipa ada kubwa na hivyo kuambulia mapato madogo.

Na athari zake zimeanza kuonekana kwa sababu idadi ya watalii imepungua maradufu tangu gharama zilipopandishwa. Wengi wamekimbilia Kenya. Hakuna mtalii anayeweza kulipa mamia ya dola kumuona Simba Tarangire wakati nusu ya pesa hiyo anaweza kuitumia kumuona Simba mbuga ya Tsavo nchini Kenya. Hii si dalili nzuri kwa ustawi wa uchumi wetu. Nitaeleza vizuri kwenye #JamboLeo ya jumanne July 26.

Malisa G.J
ANAPOTOSHWA NA NANI SASA WAKATI MNASEMAGA HATAKI KUSHAURIWA?
 
Unapotosha.

Rais hakuongelea "ada ndogo" na "ada kubwa". Rais Magufuli ameongelea kodi.

Mkisoma hamuelewi basi hata kusikia hamsikii?

Mkuu:
Hapa naomba ufafanuzi kidogo, ada ndogo/ ada kubwa na kodi.

Cha msingi hapa huyo mtalii atalipa " be it " hiyo ada au kodi, huoni kwamba atagharamia zaidi kwa huduma ile ile ambayo angeipata sehemu nyingine kwa gharama nafuu.
Ni heri ufanye biashara yenye faida ndogo lakini unauza vingi kuliko kuuza vichache vyenye faida kubwa.
Waziri wa Utalii aliwahi kusema "...hatuhitaji watalii masikini...". Hivi tajiri gani atakae tumia fedha zake pasipo na uangalifu.
 
Lets wait and see. Lakini nadhani tunakoelekea hatupajui maana masuala ya uchumi mpana (macro econimics) hapa kwetu yanapelekwa kama vile ni biashara ya njugu. Ni dhahiri kuwa mkuu wa nchi haoni multiply effect ya kupungua kwa biashara za bandari na utalii kwenye taasisi zingine za umma na binafsi na watu binafsi pia bali cha muhimu ni kodi ya serikali tu. MUNGU ibariki Tanzania
 
ANAPOTOSHWA NA NANI SASA WAKATI MNASEMAGA HATAKI KUSHAURIWA?
Kaka CDM wanasahau uwongo wao haraka sana. Ndio maana walituhubiria Lowassa ni Fisadi miaka 8. Baadaye wakasema hapana. Tulikosea. Ni Malaika!!
 
Unapotosha.

Rais hakuongelea "ada ndogo" na "ada kubwa". Rais Magufuli ameongelea kodi.

Mkisoma hamuelewi basi hata kusikia hamsikii?

faiza umezidi unatuzalilisha ccm wenzako bhana
 
Naunga mkono juhudi za Rais kuongeza wigo wa pato la taifa, lakini anahitaji wachumi wazuri kumshauri kwa sababu kuna mambo anapotoshwa. Mojawapo ni hili la watalii. Rais amesema ameongeza ada ya watalii (VAT) na asiyetaka asije. Anasema ni heri kupata watalii wachache wanaolipa ada kubwa kuliko watalii wengi wanaolipa ada ndogo. Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa;

#Mosi, kanuni za uchumi zinaelekeza kutoza ada ndogo kwa rasilimali isiyoisha na kutoza ada kubwa kwa rasilimali inayoisha. Kwa mfano watalii wanapaswa kutozwa ada ndogo kwa sababu hawapunguzi chochote kuja kutembelea Tanzania, na sekta ya madini/gesi zinapaswa kutozwa ada kubwa kwa sababu zinapungua kadri zinavyotumika (ipo siku zitaisha).

Rasilimali ambazo zikitumika zinaisha zinapaswa kuwa na ada kubwa, na zile ambazo zikitumika haziishi ada yake inapaswa kuwa ndogo. Simba wa mikumi hawezi kufa kwa kuangaliwa na watalii milioni 1 au kupigwa maelfu ya picha, wala mlima Kilimanjaro hauwezi kudidimia kwa sababu watalii wengi wameupanda. Kwahiyo ada ya utalii inapaswa kuwa ndogo (affordable).

Lakini ilivyo kwa sasa ni vice versa. Rasilimali zinazoisha kama gesi na madini zinatozwa ada ndogo na zile zisizoisha kama utalii zinatozwa ada kubwa. Rais anapaswa kushauriwa vzr zaidi ktk hili.

#Pili; Si kweli kwamba tukipata watalii wachache wanaolipa ada kubwa mapato yetu yataongezeka kama alivyosema Rais Magufuli. Mapato yangeongezeka kama tungepata watalii wengi wanaolipa ada ndogo si watalii wachache wanaolipa ada kubwa. Kanuni za uchumi zinaeleza kuwa biashara nzuri ni ile yenye faida ndogo lakini ina wateja wengi, na sio yenye faida kubwa lakini ina wateja wachache.

Ndio maana Bakhresa anauza juice na maandazi lakini anawazidi wanaouza magari. Hii ni kwa sababu Bakhresa anapata faida ndogo kwa watu wengi tofauti na wauza magari wanaopata faida kubwa kwa watu wachache. Bakhresa anaweza kupata faida ya sh.200 tu kwa kila juice lakini akauza juice milioni moja kwa siku. So akapata faida ya milioni 200 daily. Muuza magari anaweza kupata faida ya milioni 10 kwa kila gari lakini akauza gari 1 tu kwa siku. Kwa hesabu hii Bakhresa amemzidi muuza magari kwa milioni 190 kila siku.

Kwahiyo kama tukitaka kufanikiwa ktk sekta ya utalii kodi ya VAT iondolewe. Hii itafanya kupata watalii wengi watakaolipa ada ndogo hivyo kupata mapato makubwa, kuliko sasa hivi ambapo tunapata watalii wachache wanaolipa ada kubwa na hivyo kuambulia mapato madogo.

Na athari zake zimeanza kuonekana kwa sababu idadi ya watalii imepungua maradufu tangu gharama zilipopandishwa. Wengi wamekimbilia Kenya. Hakuna mtalii anayeweza kulipa mamia ya dola kumuona Simba Tarangire wakati nusu ya pesa hiyo anaweza kuitumia kumuona Simba mbuga ya Tsavo nchini Kenya. Hii si dalili nzuri kwa ustawi wa uchumi wetu. Nitaeleza vizuri kwenye #JamboLeo ya jumanne July 26.

Malisa G.J
daaa umenifungua macho aisee,,,hope rais ataipitia hii,,mambo mengine bwana tuwaachie wataalamu,,ila na nyie watalaamu msiogope kusema ukweli kwa kusimamia taaluma zenu kisa raisi atawafukuza kaziii,,,mtaokoa mambo mengii,,,,idumu Tanzania idumu afrika na dunia
 
Back
Top Bottom