Dear hamna picha,kabaki nayo Jestina kichwani mwake 'she has been smitten' akisha shuka kutoka huko mawinguni labda atakumbuka ana deni la picha hapa.mi sioni picha....
Ah, asante kwa kunielewesha... Basi nasubiri huku nikitazama kwanza picha yako hadi utakapo pikuliwa na huyo mngine.Dear hamna picha,kabaki nayo Jestina kichwani mwake 'she has been smitten' akisha shuka kutoka huko mawinguni labda atakumbuka ana deni la picha hapa.
Hahaha! we mrembo sasa mchokozi mbona sijaweka picha ? nilishaahidi hapa siku nikiweka picha itakuwa yangu kweli na jina pia nitabadili na kuweka walilonipa wazazi lol!Ah, asante kwa kunielewesha... Basi nasubiri huku nikitazama kwanza picha yako hadi utakapo pikuliwa na huyo mngine.
Sasa unasubiri mini?Hahaha! we mrembo sasa mchokozi mbona sijaweka picha ? nilishaahidi hapa siku nikiweka picha itakuwa yangu kweli na jina pia nitabadili na kuweka walilonipa wazazi lol!
mambo mazuri hayataki haraka coming soon,nawe utaweka ya kwako ?Sasa unasubiri mini?
mmhhhhh? weka kwanza nione kama ukifurahia na mimi nitaweka.mambo mazuri hayataki haraka coming soon,nawe utaweka ya kwako ?
Sasa unasubiri mini?
Awajambi?