Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
jamani hii thread mbona imenifanya nikose raha, maana mie mbaya kweli, hivi ntapata mke kweli na kama nikimpata si hao mahandsomeee wataniibia?
wewe tafuta ela,tuachie sis sekta ya UHB.
jamani hii thread mbona imenifanya nikose raha, maana mie mbaya kweli, hivi ntapata mke kweli na kama nikimpata si hao mahandsomeee wataniibia?
hata wewe muuza sura uliachwa duuu hukufanya kazi ipasavyo nini!?
mpaka mwenyewe unakubali mungu aliumba!
"beauty of a thing is in the eyes of the beholder"mpaka mwenyewe unakubali mungu aliumba!
Kama mimi si unaniona hapo kwenye picha ya avatar yangu..Eheee
ilo nalo neno roseAwajambi?
Kama huyu:
Kama huyu: