Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
Hakuna anaependa kuachana, hakuna anaetarajia kuachana, kuna situation ikikufika huna budi ukubali tu kuachana ndio last option, nikupe mfano, umekua na mpenzi wako mmedumu miaka chungu nzima lakini kila unachofanya kwake sicho pengine amekua akikupa alama za kuonesha haupo moyoni mwake umejitahidi kusema mtu habadiliki na bado awe mwiba utavumilia had lini? Why uumie kila siku usononeke kila siku??Ingekua kuacha ni rahisi hivyo dunia ingekua nzuri