Kuna kitu kinaniumiza kuhusu Wanaume

Kuna kitu kinaniumiza kuhusu Wanaume

Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea. Wanawake tumepewa kipaumbele sawa, lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.

Hizi mambo naona ndo zinachangia;
1. Kuuua wake zao
2. Kuchukia wanawake especially singlemoms
3. Kujiua wenyewe

Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni wazi ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi iwe nje ya ndoa, ndani ya ndoa, wanachuo na kijamii kiujumla.

Mie naamini Suluhu itapatikana.
Tangu lini? Hatutaki huruma yenu. Mwanaume anaweza jisimamia mwenyewe
 
Ulifanya vyema tofauti na wengi wetu namna tungelichukulia kawaida.
Ndivyo inavyopaswa ifanyike, alikua na mazoea ya kuwasiliana na ex wake ambae ni jamaa yangu Sana, nikamwambia aache huo ujinga maana jamaa hana Cha kupoteza nkamwambia aache.

Last time alinitafuta analalamika ex hajatimiza ahadi ya kumchangia shughuli yake ya ndoa na akimpigia hapokei. Nilimchana wazi hicho anachofosi kiwe kinaweza mgarimu na aache.

Ndoa na iheshimiwe
 
Na ukiona demu wako bado ana mazoea na ex wake jua tu bado ni mali ya uma.

Hapo ex angechanga alafu angekuja kudai malipo baadae
 
1ce961361a7a843084da4e80cbb4be08.jpg
 
Nadhani kama we KE basi una nafasi yako mbinguni. Wanaume tujipende wenyewe kwanza kabla ya kupenda mtoto wa mtu. This shit is taking a lot mens life kimasihara tu. Binafsi ukizngua bora kila mtu afe kivyake sio mambo ya kupelekana kama magari mabovu
Yeah,mapenz siyo ya kuyachukulia seriously mno
 
Wanawake mnapaswa(siyo kujitahidi au kujaribu)kuwa waaminifu kwenye ndoa au mahusiano yenu.Mwanaume kaumbwa kutokuikubali dharau.Na kwa asili mwanaume ni mchoyo mnoo,tena mnoo!Kuwa makini usimchezee hisia zake.Ishi kwa tahadhari na si kwa kumzoea.Hazoeleki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom