proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,352
- 11,232
mimi ni mwanasaikolojia mje PM mara mpatapo shida
Amri ya sita Uzizini isikiukweKutatua shida hii ya migogoro ya ndoa jamii inatakiwa kujenga vizur malez ya watoto pande zote ili wasiwe masingo maza na faza pia wawe huby n wife material wanaoweza kuish katika maadili ya kiafrica yenye kutendeana mema ndani ya familia na kuvumiliana, kinyume na apo arusha kule mabint washajipindia mtatoana macho adi mkome.
Ji submeet kwangu mkuu sitokufanyia visa🤣🤣🤣🤣Tutakoma yaan
Wanatuomba tuseme wakati tatizo lao wanalijua la kuomba omba ela, kucheat, kunyima mbususu mume na kua mkaidi na jeuriNaona ujio wa midoli inaanza kurejesha fahamu zenu🙌🙌🙌
Sisi hatuhitaji pa kusemea tutaishi hv hv 😁
Hamna ambacho hawakijui wanatuzuga tu hao, vijana walianza harakati mapema za kusaka mbadala ikiwemo kampeni ya kataa ndoa....Kuna kitu walikua wanakiona lkn wanakosa namna sahihi ya kupresent na pia kusolve lkn technology imekuja kuwaokoaWanatuomba tuseme wakati tatizo lao wanalijua la kuomba omba ela, kucheat, kunyima mbususu mume na kua mkaidi na jeuri
Zile Pc za technology ni kali sana broo nmeshangaa nmeota ndoto usiku naila moja dahHamna ambacho hawakijui wanatuzuga tu hao, vijana walianza harakati mapema za kusaka mbadala ikiwemo kampeni ya kataa ndoa....Kuna kitu walikua wanakiona lkn wanakosa namna sahihi ya kupresent na pia kusolve lkn technology imekuja kuwaokoa
AiseeHamna ambacho hawakijui wanatuzuga tu hao, vijana walianza harakati mapema za kusaka mbadala ikiwemo kampeni ya kataa ndoa....Kuna kitu walikua wanakiona lkn wanakosa namna sahihi ya kupresent na pia kusolve lkn technology imekuja kuwaokoa