Kuna kitu kinaniumiza kuhusu Wanaume

Kuna kitu kinaniumiza kuhusu Wanaume

As a member of the CRA (Comment Reading Association), I’m here only to read comments. Please keep the comments short and simple. We do appreciate your typing efforts. Thank you and have a great day!
Wacha wee,mmeunda na kagroup?
 
Na hapa ndio wanapofeli.
Hawalielewi hili. Mtu mpaka unaamua kuingia ndoani ni wazi kuwa Kuna mambo lazima ukubali yabadilike ikiwemo uhuru wako. Uwezi ishi ndoani kihuni huni tu.
Kama hukuwa tayari kwa ajili ya maisha ya ndoa ni bora usiolewe.

Nna binamu yangu tulisoma wote na tulikuwa tumezoeana Sana hasa kuwasiliana ila alivyoolewa mwaka juzi nilikata Yale mazoea na nikamwambia aiheshimu ndoa yake.
 
Kwa bahati nzuri wanaume tumeumbwa na mfumo wa kutatua matatizo yetu wenyewe bila kumuelezea mtu yeyote linalokusibu na maisha yakaendelea, hayo mambo ya hovyo yanayotokea ni kutokana na muhusika ule mfumo unakua hauko thabiti Sana.
 
Asikudanganye mtu my,
WANAUME wanawivu kupindukia.
Mume wako jitahidi sana sijue kama unacceptable au kuhisi chochote jitahidi sana my.
Usijaribu kumcheat mume my.
Asante sana mpenz
 
Kwa bahati nzuri wanaume tumeumbwa na mfumo wa kutatua matatizo yetu wenyewe bila kumuelezea mtu yeyote linalokusibu na maisha yakaendelea, hayo mambo ya hovyo yanayotokea ni kutokana na muhusika ule mfumo unakua hauko thabiti Sana.
Ndo msijinyonge sasa
 
Mimi hata huyo Mama alinishanipiga matukio.

Mtu pekee wa kumwamini ni Mimi mwenyewe labda na bibi yangu
Bibi nae eti anafundisha ulozi wajukuu....nadhani tujiamini wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom