grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,014
- 5,655
Kupiga haijawahi kuwa long term solution huyo jamaa ni spychoNdiyo. That's only a way to deal with treasonous
Kupiga haijawahi kuwa long term solution huyo jamaa ni spychoNdiyo. That's only a way to deal with treasonous
Mama yangu aliwahi kuni let down kinomaNot often,
Very rarely.
Ngoja nitulie in diamond PLATINUM WCBThere is no any how you can be careful on these dramatic creatures. Kabla hujaoa watakuonyesha upande mmoja wa sarafu. Baadaye watakuonyesha upande wa pili wenye picha ya mbwa
Aaa,kageuza kesi huyoNa kwa taarifa za upande wa pili (mume) anadai kuwa huyu mwanamke amepigwa na mchepuko baada ya kwenda kumfumania huyu mwanamke akiwa na mjomba wake wanaojihusisha.
Yaani hadi mchepuko kwa sasa ana haki ya kwenda kufanya fumanizi.
Asante sana mkuu....Wanawake mnapaswa(siyo kujitahidi au kujaribu)kuwa waaminifu kwenye ndoa au mahusiano yenu.Mwanaume kaumbwa kutokuikubali dharau.Na kwa asili mwanaume ni mchoyo mnoo,tena mnoo!Kuwa makini usimchezee hisia zake.Ishi kwa tahadhari na si kwa kumzoea.Hazoeleki.
Ni kweli usaliti si kitu chema kiukweliWanaume tunabeba mengi sanaa. Kitu ambacho wanawake hawakijui ni kutembea na mwanaume mwenzagu kunatia dharau kubwa ambayo haibebeki. Yani Bora ukasagane au ufe kuliko kunidhalilisha kias hiki
Yaani ukiona tu umekosea ujue either gunia la mkaa au bisibisi aargh tusifikie huko jamani, ila na sisi wadada tuwe waaminifu, ndani ya ndoa unachepuka😪Yaan wanaume wamekuwa hatari sana
Hawezi kukuangusha kwenye Kila namnaHata mama sometimes anaweza kukuangusha