Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,360
- 91,912
🤣🤣🤣Saiv watawatoa na pua sa cjui mtapumuaje
🤣🤣🤣Saiv watawatoa na pua sa cjui mtapumuaje
Hata mama sometimes anaweza kukuangusha
Very sad,Kuna muda wazazi tunazingua mno😭Hakika yaani ni ukweli asilimia kubwa sana nilipitia kipindi kigumu na Mama yangu akanifukuza home kama Mbwa na wakati huo nilikuwa nimepata skull fracture yaani mpaka nilikuwa nimepooza mkono wa kushoto 😭😭😭
Mungu pekee yake ndiye hawezi kukuacha. Ondoa kabisa tumaini lako kwa Binadamu mwenzio.
To yeye
Muhimu kusamehe maisha yaendelee mkuuHakika yaani ni ukweli asilimia kubwa sana nilipitia kipindi kigumu na Mama yangu akanifukuza home kama Mbwa na wakati huo nilikuwa nimepata skull fracture yaani mpaka nilikuwa nimepooza mkono wa kushoto 😭😭😭
Mungu pekee yake ndiye hawezi kukuacha. Ondoa kabisa tumaini lako kwa Binadamu mwenzio.
To yeye
Very sad,Kuna muda wazazi tunazingua mno😭
Mtandaoni kuna joto sana 😂😂😂