Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
Kunguru hafugiki toka sitokii..Alikubuhu,ila long distance relationship nayo si njema
Mwanamke kama ni anatabia za kurukaruka anaweza kumwacha mume wake nyumbani na kwenda kufanya ufuska anapojua yeye.
Long distance relationship isiwe sababu ya kuhalalisha tabia za ufuska, kwani kuna wanawake wanaotumikia vifungo na bado wanaweza kuishi pasipo ya tendo.. Iweje wewe ushindwe kutumikia kifungo chako cha ndoa?
Wengine wakati wanaenda na pete wanaivua kabisa hiyo ni kumaanisha ni tabia na kamwe haitobadilika..
Na hapa ndio wanapofeli.
