Kuna kitu kinaniumiza kuhusu Wanaume

Kuna kitu kinaniumiza kuhusu Wanaume

Hawalielewi hili. Mtu mpaka unaamua kuingia ndoani ni wazi kuwa Kuna mambo lazima ukubali yabadilike ikiwemo uhuru wako. Uwezi ishi ndoani kihuni huni tu.
Kama hukuwa tayari kwa ajili ya maisha ya ndoa ni bora usiolewe.

Nna binamu yangu tulisoma wote na tulikuwa tumezoeana Sana hasa kuwasiliana ila alivyoolewa mwaka juzi nilikata Yale mazoea na nikamwambia aiheshimu ndoa yake.
👊Ulifanya maamuzi sahihi
 
Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea. Wanawake tumepewa kipaumbele sawa, lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.

Hizi mambo naona ndo zinachangia;
1. Kuuua wake zao
2. Kuchukia wanawake especially singlemoms
3. Kujiua wenyewe

Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni wazi ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi iwe nje ya ndoa, ndani ya ndoa, wanachuo na kijamii kiujumla.

Mie naamini Suluhu itapatikana.
we tuache tu!! Tushazoea matatizo usitusemee 😟😭
 
Haya yote yamekuja kwasababu ya Beijing women conference 1995,hii kitu inaitafuna dunia nzima,msifikiri ni hapa Tanzania tu...
 
Mambo ni magumu...afu ni kama tunapiganiwa wanawake kuja kuitawala dunia
 
Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea. Wanawake tumepewa kipaumbele sawa, lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.

Hizi mambo naona ndo zinachangia;
1. Kuuua wake zao
2. Kuchukia wanawake especially singlemoms
3. Kujiua wenyewe

Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni wazi ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi iwe nje ya ndoa, ndani ya ndoa, wanachuo na kijamii kiujumla.

Mie naamini Suluhu itapatikana.
Wanataka wawe kama wanawake, wapewe haki zao za kuwa mashoga
 
Yaan wanaume wamekuwa hatari sana

Sisi wanaume ni ukituelewa utatuburuza upendavyo ila usipotuelewa ndo ivo itafatana na akili zake muhusika mwenywe.

Kikubwa mwanaume mwachie uanaume wake usijaribu kumwingilia au kumpokonya HAKI,CHEO au WADHIFA wake kama mwanaume kwa kigezo cha kwamba anatakiwa tu AJIAMINI maana ndo hua kamsemo kenu.

Mwisho kama kakutongoza na hujampenda basi usithubutu kupokea kutumia au kula MUDA wake, MALI ama pesa yake, maana ivo ndo vitu anavyotumia kulinda uanaume wake kwako so unapovitumia alafu ukaacha kumpa ivo nilivosema Haki,cheo,na wadhifa wake vile anavyostahiri kulingana na alivotoa ndo itaona vita au ndo utaoma matokeo kama ayo mnayosema kua WANAUME NI HATARI SANA.
 
Sawa kabisa Mkuu
 
Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea. Wanawake tumepewa kipaumbele sawa, lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.

Hizi mambo naona ndo zinachangia;
1. Kuuua wake zao
2. Kuchukia wanawake especially singlemoms
3. Kujiua wenyewe

Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni wazi ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi iwe nje ya ndoa, ndani ya ndoa, wanachuo na kijamii kiujumla.

Mie naamini Suluhu itapatikana.
Nadhani kama we KE basi una nafasi yako mbinguni. Wanaume tujipende wenyewe kwanza kabla ya kupenda mtoto wa mtu. This shit is taking a lot mens life kimasihara tu. Binafsi ukizngua bora kila mtu afe kivyake sio mambo ya kupelekana kama magari mabovu
 
Before you put ur trust on her, firstly ask ur dad permission to do so,cos he knows her better 🤦
No one is more real than ur Mom,She'll tell u how it is to ur face,but pray for u behind ur back
Eversince the day i was born,mum have been there for me and helped me grow,ur mum will never be jealous of you,so listen to her over someone who u think may be.

😎
 
Hawalielewi hili. Mtu mpaka unaamua kuingia ndoani ni wazi kuwa Kuna mambo lazima ukubali yabadilike ikiwemo uhuru wako. Uwezi ishi ndoani kihuni huni tu.
Kama hukuwa tayari kwa ajili ya maisha ya ndoa ni bora usiolewe.

Nna binamu yangu tulisoma wote na tulikuwa tumezoeana Sana hasa kuwasiliana ila alivyoolewa mwaka juzi nilikata Yale mazoea na nikamwambia aiheshimu ndoa yake.
Ulifanya vyema tofauti na wengi wetu namna tungelichukulia kawaida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom