Kuna kitu kinaniumiza kuhusu Wanaume

Kuna kitu kinaniumiza kuhusu Wanaume

Kwa stage niliofikia na mambo ninayoendelea kuyashuhudia kila siku kwa ndugu,jamaa na marafiki mambo ambayo wake zao wanayafanya na hawajui Daah kifua changu kimebeba mengi sana na siwezi kuyaongea ila kiufupi kwanza mi hisia za mapenz kwenye moyo wangu zilishakufaga sinaga hisia kiukweli nimebaki na kutamani tu nikishakukula bas utanisameh sababu sinaga hisia za kupenda mimi so wenenda tu sihitaji kukupotezea muda
 
Hii sasa ndio akili
 
Huku ndo kukua sasa,siyo mpaka mtoboane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom