The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,322
- 6,878
kabisa, sasa mwanaume akisema matatizo yake huyu bidada na wigi lake na makope bandia atatatua nini ?!Mwanaume kaumbwa kutatua matatizo yake na sio kuyasema, wewe kuwa mwema kwake inatosha