Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?

Mpenzi anaependa kula bata harafu marafiki zake wengi wanaume na tabia bar kama mnavyojua aisee presha sana!!!
 
mtu anapiga chafya na kupenga makamasi mfululizo bila kujiziba. halafu daily yani nachefukwa kila saa pyee! pyee!
 
Kutafuna mnyaaa mnyaaa mnyeee mnyeee ngachungachu ngruu ngruu,,af kinamezwa ngudyuu
 
Daaah nakaa Karib na wauni sasa ikifika jion wanavuta bang zao kwenye maskani yao na maskan yenyewe IPO Karin na dirisha langu moshi mwingi unaingia ndani kwangu kuwaambia nashindwa nabak tuu naugulia moyoni
 
Kwenye maisha kuna vitu ambavyo mtu anaweza kuw anafanya kila mara na ikawa kero kwa wengine.

Hali hiyo anawaweza kuwa anaifanya kwa kujua kabisa makusudi kuwa anawakera watu wengine lakini wapo ambao wanaweza kufanya na wasijue kuwa kitendo wachokifanya ni kero kwa wenzake wanaokuwa karibu.

Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?
Hakuna kitu kinanikera Kama mtu kuchokonoa mapua mbele za watu naonaga kinyaa Sana, ama mtu akiongea anarusha mate hua cpendi kabisa. Kifupi tabia zinakera Sana hizo
 
Sema kupishana na a lady njiani af ananuka kikwapa kama njemba huwa inanikata stimu kinyama.
 
Back
Top Bottom