Shule za umma form five waliofungua 13/8/2023 wanafunga mid term kesho kutwa tarehe 1/9

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,289
21,475
Miaka ya hivi karibuni shule za high school za serikali katika mitihani ya necta zina piku za private hasa kwenye masomo ya sayansi, kwa mfano mwaka hu shule nyingi za umma hazina div 4 au 0 wengi wana 1ya 3. Ya 4 mpaka ya 6 wakati za private zina 1 ya 8 9 na two za mwanzo, shule chache zenye 1 ya 3 kwenye private

Ila kinacho shanganza hizi shule za serikali zina soma siku chache sana kwa mfano form five private wa lisha anza tangu mwezi wa saba, na nyingi zilikua pia na pre form five programm, nyingi zina maabara ya masomo ya sayansi na waalimu wanao jituma sana. Ila matokeo ya kija zina zidiwa na shule za umma zisio kua na hata basenbanner au test tubes.

What is the secrete behind this?
 
KWA government PCM,PCB zinafaulika kupitia tuition na Wanafunzi kufundishana.

Likizo ndefu Wanafunzi ndio huwa wanapenda ili muda wa tuition uwe msingi.

Ingawaje sikatai kuwa yawezekana 'mcheza kwao" unaweza ikawa inahusika
 
Wanafunzi wa government haswa wa science wanajihami sana kwa kusoma nje mapema ...Wengine hata zikifunguliwa bado wanachelewa kwanza matokeo yakitoka tu washaanza kusoma hata kabla ya kwenda shule.

Private wanajua kupo fresh ila government wanapigania sana kusoma mapema na nje ya shule.
 
Hamna miujiza kwenye kusoma saysnsi katika level ya advance kutakua namchezo mahara ambao haujulikani kwasasa.
 
Nimesoma PCB sio masomo mepes na vitu vingi sana yanahitaji muda wa kutosha. Hiyo ya wanafunzi kufundishana hapana labda kama wanasomea kujibu mtihani.
Sasa kwani malengo ya kusoma ni nini?

Ni kupata ujuzi ambao pamoja na mambo mengine utasaidia kujibu mtihani

Mwanafunzi mwenzio aliyesoma tuition akakielewa kitu anaweza kuwa bora kuliko mwalimu wa somo husika.

Unakuta mwanafunzi ni ana akili sana pia kasoma tuition wakati wa kuelekeza wenzie anatumia miksa kiswahili na lugha za kihuni zinazosaidia kuelewa na kukumbuka kwa urahisi .

Haogopwi kumuuliza swali lolote maana ni mwenzenu,anapatikana muda mwingi kuliko ticha.
 
Wanafunzi wa government haswa wa science wanajihami sana kwa kusoma nje mapema ...Wengine hata zikifunguliwa bado wanachelewa kwanza matokeo yakitoka tu washaanza kusoma hata kabla ya kwenda shule.

Private wanajua kupo fresh ila government wanapigania sana kusoma mapema na nje ya shule.
Mbona huku Kigoma sioni wanao sama tuition kivile nyie mnaongelea wstoto wachache wanao ishi dar mwz Arusha nk kuna sehemu hata kuona mualimu wa physics hamna hao watoto wanasoma je tuition mpaka shule ya watoto 200 zaidi ya nusu wana 1 ya 3 comb pcb na pcm. Check matokeo ya Tabora boys haiwezekane wanafunzi 300 kua na same reasoning and understanding hayo matekeo hayatipi picha halisi ya elimu yetu.
 
Watu wanasoma kweli wapo waliotangulia kama form 6 wanafundisha madogo hata kwa buku buku kwa topics .

Wapo wenzao waliosoma wanafundishana ,shule ya government ni hustling kwenda mbele hao Arts tu wanatoboa usiku.
 
Sasa kwani malengo ya kusoma ni nini?

Ni kupata ujuzi ambao pamoja na mambo mengine utasaidia kujibu mtihani

Mwanafunzi mwenzio aliyesoma tuition akakielewa kitu anaweza kuwa bora kuliko mwalimu wa somo husika.

Unakuta mwanafunzi ni ana akili sana pia kasoma tuition wakati wa kuelekeza wenzie anatumia miksa kiswahili na lugha za kihuni zinazosaidia kuelewa na kukumbuka kwa urahisi .

Haogopwi kumuuliza swali lolote maana ni mwenzenu,anapatikana muda mwingi kuliko ticha.
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Eiza mitihani imelegezwa au usahihishaji umelegezwa (segmentation)
Umelegezwa kwa shule za umma tu ilihali wote wanafanya mtihani mmoja wa necta na kusaishwa na waalimu wale wale kwa kutumia marking guideline ile ile, kama ni standardisation kwenye computing labda mchezo hufanyika hapo kwa kuwatenga shule zabinafsi.
 
Ndio maana ya neno segmentation
 
Back
Top Bottom