kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,364
Kwa mema mnaachanaje...
Kwa Sepetu,...
Kwa mema mnaachanaje...
Kwa Sepetu,...
Tukiwatreat kwa respect mnatuona mafara,..tuwapige tu.
Naomba kuelewa juu ya hili kwani kuna rafiki yangu kaachana na baba watoto wake, cha kushangaza mwenzie kamnunia hata akimtumia massege ya kawaida kabisa kuhusu watoto hajibu wala simu hapokei na mwenzie ndiye aliyebaki na watoto.
IeIeweke rafiki yangu huyo hampigii kuomba warudiane na ana amani kabisa lakini mwenzie kajenga uadui kabisa. Kwani haiwezekani kuachana na mkawa na amani tu huku kila mtu akiendelea na mambo yake.
Naomba tujadili
Hongera kwakuwahalalishia vipigo mama zako, shangazi zako, dada zako na mama zako wadogo, ongeza bidii katika hiyo kampeni.
Hata kama nani akijifanya mjuaji atapigwa tu,...tena bila huruma she deserve it.
Anayeona kanyanyasika huwa na vinyongo na mzito kusamehe na hugubikwa na vinyongo. Jibu mara nyingi ni wakati. Kama hatapata wa kumfariji hubakia na maumivu na akilaani.
Umeachwaje?Nimeachwa jana
Hata tuachane kwa wema nikikupa kisogo ndio sikugeukii na tukiachana sikujui.
Kama walizaa, mawasiliano sio vibaya kuwepo.The point is not Mahusiano bali Mawasiliano! Hakuna ubaya kuwasiliana na X wako!
ushamba++
Umeachwaje?
Kwa mema mnaachanaje...
hiki ulichoandika kinahidhilisha wazi upo sawa sawa na hiyo avatar yako
Maadame punguza ukali
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hahaaa hujui kwani
sijui eti...nifundishe mwenzio...