Kuna haja ya kuwa maadui baada ya kuachana?

Kuna haja ya kuwa maadui baada ya kuachana?

Kama mliwahi kuwa wapenzi kisha mkaachana na kuendelea kuwa marafiki jibu jepesi ni kuwa hapakuwahi kuwa na mapenzi ya dhati baina yenu au bado mna mapenzi mazito na huenda muda wowote mkarudiana.

Binafsi sitaki na wala siruhusu urafiki wa aina yoyote baina ya mpenzi wangu na mtu wake wa zamani.
 
Huo utakuwa wivu..... ila ni kila mtu anavyoyachukulia mahusiano baada ya kutengana kwenu,Aina haja ya kununiana mshindwe ata kupeana pole kweny shida zenu eti kisa mmeachaana, Aimaanisha mawasiliano yenu yatarejesha uhusiano wenu na aimaanishi kununiana kwenu kutaleta faraja kwenye mioyo yenu baada ya kutemana kwenu, ni kujiongeza tuh mnaweza mkaendelea kuwasiliana na akuna kibaya kitachoharibika........
 
Wapite yao waende kwa mama yao

Sana yaani mimi namshukuru sana mama angu maana kanilea bila msaaada wa baba miaka yote ad apa nilipo. +But nawahurumia wenzangu kama mimi kuna vitu wanakosa/tunakosa kutoka kwa baba zetu.
 
Achukuwe watoto wakee na awasaliane ili iweje mkiachana mmeachana hamna haja ya kuongea
 
sana yaan me namshukuru sana mama angu maana kanilea bila msaaada wa baba miaka yote ad apa nilipo. +Bt nawahurumia wenzangu kama mm kuna vitu wanakosa/tunakosa kutoka kwa baba zetu

Mie my dad passed away whn i was still very young ila big up to mom maana she is the best mom in the world alinifanya nijihisi km nina baba.
 
Watoto wanabaki kwa mzazi mwenye uwezo maana hawatakiwi kuteseka kwa maugomvi ya wazazi kuna wazazi wanabaki na watoto kumkomesha waliyeachana in the process watoto wanateseka so kuwe na sheria ktk kuachana watoto always wabaki na mzazi mwenye uwezo!
 
Huo utakuwa wivu..... ila ni kila mtu anavyoyachukulia mahusiano baada ya kutengana kwenu,Aina haja ya kununiana mshindwe ata kupeana pole kweny shida zenu eti kisa mmeachaana, Aimaanisha mawasiliano yenu yatarejesha uhusiano wenu na aimaanishi kununiana kwenu kutaleta faraja kwenye mioyo yenu baada ya kutemana kwenu, ni kujiongeza tuh mnaweza mkaendelea kuwasiliana na akuna kibaya kitachoharibika........

As long as wana watoto uadui wa nn? Mm nilimshauri rafiki yng ajiongeze tu kwa kuwa uwezo anao alee watoto, Kununa kwa huyo bwana ni kukwepa majukumu nionavyo mm coz walioachana ni wao watoto je?
 
Tukishaachana Lazima Kuwe Na Mipaka Ya Kuwasiliana.Sio Kila Wakati Tunapigiana Pigiana Simu.Kama Swala Ni Watoto.Lazima Tuweke Utaratibu Maalum Wa Kuja Kuwaangalia Watoto.Watoto Isiwe Sababu Ya Kusumbuana.

Kwahy watoto wamsumbue mama wakati ww ukiwa hutaki usumbufu halafu baadae useme wanao?Ukitolewa baru uanze kusema umedhulumiwa watoto? Au unamaanisha nn mkuu.
 
Back
Top Bottom