Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 907
Hata tuachane kwa wema nikikupa kisogo ndio sikugeukii na tukiachana sikujui.
hiki ulichoandika kinahidhilisha wazi upo sawa sawa na hiyo avatar yako
Hata tuachane kwa wema nikikupa kisogo ndio sikugeukii na tukiachana sikujui.
mwombee Mungu tuu ambadilishe usimchukie
"haja"?!!
Ukweli tukiachana, usinijue nisikujue. Ka ni wtoto uamuzi ni wako. Ulibaki nao wa nini?? Kula zako nami zangu, atakaye niridhi achukue mzigo wote.
Hii kupigiana sm na vijimeseji huleta kumbukumbu mujarab baadaye nami utakuta nina mai waifu wangu. Weye kwangu kibaka tu najutia nguvu zangu ulizo nitoa baas
Kunywa maji ushushie jazba uliyonayo! Mbona hasira kubwa namna hy kulikoni?
Naomba kuelewa juu ya hili kwani kuna rafiki yangu kaachana na baba watoto wake, cha kushangaza mwenzie kamnunia hata akimtumia massege ya kawaida kabisa kuhusu watoto hajibu wala simu hapokei na mwenzie ndiye aliyebaki na watoto.
IeIeweke rafiki yangu huyo hampigii kuomba warudiane na ana amani kabisa lakini mwenzie kajenga uadui kabisa. Kwani haiwezekani kuachana na mkawa na amani tu huku kila mtu akiendelea na mambo yake.
Naomba tujadili
Ndo hivyo hapokei cm wala kujibu msg! Atakumbushwaje binadamu huyo?
Kwa nini ule matapishi yako?Move on, ni utoto kuwa na mahusiano na mtu uliyeachana nae.
Hata tuachane kwa wema nikikupa kisogo ndio sikugeukii na tukiachana sikujui.
Yes na aliyekuwa chanzo cha ugomvi wao ndiye aliyenuna!
Yaani ungejua baadhi ya wanaume hamjielewi, nimalimbukeni, na hamjijui kwa kweli, hakuna wakumbadilisha mtu mwenye meno 32 kama wazazi wake hawajamfunza hii.
View attachment 234439
Inategemea mlivyoachana. Ila hakuna sababu ya kupigiana simu au mawasiliano ya namna yeyote wewe tafuta namna ya kuwasiliana na watoto bila kuhusishana.
Hata mimi naunga mkono mkishaachana ndo imetoka hiyo nikikuta hata kukusalimia sikusalimii. Sababu hadi kufikia kuachana mnakuwa mmeboana vya kutosha. Kuachana si mchezo ndugu yangu.