Kuna haja kwa Watanzania kumsamehe hayati Dkt. John Magufuli. Nini kifanyike?

Tatizo wengi humu sio wahanga yani wao ni waorodheshaji tu wa hayo maovu, lakini ajabu wana hasira hatari na huyo Magufuli.
Ndio maana nasema ipo haja ya wale ambao walivyoguswa na utawala wa Magufuli katika yale mambo ambayo hayakuwa sahihi wao kufanya ili tuone huko nako hali ikoje?
 
Taja makosa yake ili tujue tunaanzia wapi. Achana na tuhuma maana zinaweza kuwa kweli au si za kweli.
Elezea MAKOSA YA DHAHIRI (ya kweli) aliyoyafanya

..kumshambulia kwa nia ya kumuua Tundu Lissu.
 
Watanzania wangapi?Acha kukuza mambo yani kakikundi ka mafisadi wachache ndio unasema watanzania si kweli hii
 
Angeamua kumuua to hata sekunde isingeisha acheni kumdhalilisha Rais wetu WA awamu ya 5

..alimpiga risasi zaidi ya 16.

..MUNGU ndiye aliyemuepusha Lissu na kifo.

..Magufuli alijidhalilisha mwenyewe kwa tabia zake za kifedhuli.
 
..alimpiga risasi zaidi ya 16.

..MUNGU ndiye aliyemuepusha Lissu na kifo.

..Magufuli alijidhalilisha mwenyewe kwa tabia zake za kifedhuli.
SI KWELI

Ina maana hao wengine wanaouwawa na serikali hawana Mungu?

Narudia tena serikali ingeamua kumuua angekufa hizo risasi 16 zisingepigwa miguuni kama maigizo Yale yalivyofanywa.
 
SI KWELI

Ina maana hao wengine wanaouwawa na serikali hawana Mungu?

Narudia tena serikali ingeamua kumuua angekufa hizo risasi 16 zisingepigwa miguuni kama maigizo Yale yalivyofanywa.

..wacha mizaha.

..kuna watu wamenusurika shambulizi la bomu la nyuklia.

..kama mtu siku yake haijafika hakuna wa kulazimisha.

..Magufuli alituma magaidi wamuue Lissu lakini Sept 7 2017 haikuwa siku aliyopangiwa kufa.
 
Endeleeni kuamini uongo
 
Back
Top Bottom