AiseeWaliopo madarakani kwa Sasa inapaswa watuombe Radhi.
Washirikina Huwa wapo hivyo.Naona kuwa na chuki iliyopitiliza kwa marehemu ni sawa na aina fulani ya uchizi tu.
...na kinyume Chake Ndio hivyohivyo!Naona kuwa na chuki iliyopitiliza kwa marehemu ni sawa na aina fulani ya uchizi tu.
Huko ni kujitafutia stress zisizo za lazima mwishowe unakufa mapema kizembe tu.
KWANZA AKIRI DHAMBI ZAKE HADHARANI ALIZOZITENDA NA KUELEZA KILA KITU ALICHOKIFANYA KWA MKONO WAKE KINYWA CHAKE KWA KUWA HAYUPO BASI WAJITOKEZE WANAOMHURUMIA WANAOYAJUA YOTE ALIYOYAFANYA WAMWOMBEE MSAMAHAIli watu wasahau muacheni msiandike habari zake.
Inaonekana kuna watu wanahasira nae akitajwatu wanalipukwa na hasira na chuki za dhahiri
Taja makosa yake ili tujue tunaanzia wapi. Achana na tuhuma maana zinaweza kuwa kweli au si za kweli.Ni miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia...
magufuli alikuwa mpumbavu sana ikitokea akafufuka nitammaliza mimi nilivyo na hasira nae mjinga huyo.Naona kuwa na chuki iliyopitiliza kwa marehemu ni sawa na aina fulani ya uchizi tu.
Huko ni kujitafutia stress zisizo za lazima mwishowe unakufa mapema kizembe tu.
Bila ya shaka wewe ni miongonj wa waliotumbuliwa na JPMmagufuli alikuwa mpumbavu sana ikitokea akafufuka nitammaliza mimi nilivyo na hasira nae mjinga huyo.
Mabadiliko yoyote kuna watakao nufaika na watakao umia. Nchi zetu za kiafrika zina sehemu kuu tatu ambazo ni wananchi wa kawaida, serikali na mabepali.Ni miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia...
Sameheana na bibi yakoNi miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia...