Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,326
- 92,485
Dada wewe ni kutoka Ntwara?in addition, je kumuuliza ntu hali yake ya afya pale inapokuwa 'imedorora sana' ni utu au kukosa utu?

Actually kuzibuka kwangu ni compliment.
Zibuka = husikii, una namna ya kufikiri yako mwenyewe bila kujali noise za nje.Capable of transcending the common dialogue and even starting a paradigm shift/ attaining the required escape velocity.
Highly recommended.
Bila kuzibuka hamna maendeleo.
Mie bakwata. Kukonda sio neno zuri sana banaa, eboo!
in addition, je kumuuliza ntu hali yake ya afya pale inapokuwa 'imedorora sana' ni utu au kukosa utu?

@nyumba kubwa
sasa ukimkwepa utajuaje anataka privacy?
Wakati hata hujaongea naye?
in addition, je kumuuliza ntu hali yake ya afya pale inapokuwa 'imedorora sana' ni utu au kukosa utu?
Hapa stamford bridge ni half time blues - 1 Man City - 1.
enhee tuendeleeni na mada
......... Kuna Profesa wangu mmoja wa Uchumi alikuwa anasema yeye hawezi hata kumuuliza mtu "unafanya kazi wapi?" Kwa sababu huwjui kama kila mtu ana kazi, na unaweza kum-embarrass mtu asiyetaka watu wajue kama hana kazi.
.
Sikujua kama The Boss ni "Cha Umbea" Inahuu umuulize kwani si ushamuona unatakaje tena??
Ni muhimu kuheshimu privacy ya mtu. Actually ni tabia mbaya mtu akikuambia anaumwa ukamuuliza anaumwa nini as if unataka kumpatia matibabu. Ni ustaarabu kuuliza 'umepata matibabu?' kwa ajili ya kufungua maongezi. Asipoona haja ya details, u shld respect and not pry. Na sio issue tu ya afya, its rude kuuliza mtu bei ya kila alichonacho (watch, shoes, ring, car aaaghhrr!), kama kaoa, ana watoto wangapi and personal questions. Ukiuliza tu 'how have u been doing?!' Kama anataka atakueleza.