Kumuuliza mtu afya yake sio ustaarabu?

natumia kimchina, leo ntaenda intanet kefu nikaisome
basi ntakupa ubalozi nchi upendayo
kama hutaki na huo basi ntakupa ziwa victoria iwe swimming pool yako na chihua hua wako tu


Lol! I got my secret motive japo ukuu wa wilaya siutaki. Hujaisoma signature yangu? Hehehe,kaazi kweli!
 
Kwani kukonda vibaya? Kunenepa je? Mi nafikiri haina haja ya kuuliza kwa nini umekonda au umenenepa labda kama umekutana nae halafu unamuona hana furaha ndio waweza muuliza kama yupo sawa au lah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom