Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,914
- 3,415
Ukweli ni kwamba, toka Amini Achukue Nchi, Mwl alifadhili vikundi vya wakina Obote na vinginevyo vikawa vinaingia Uganda vinashambulia vikitokea maporini mpakani upande wa TZ Kagera.Kwahiyo Uganda hawakutuchokoza kwa kuivamia Kagera?
Amini alijaribu kuongea hili na Mwalimu, alivoona mambo yanaendelea akachukua maamuzi japo likawa ndio anguko lake