Kumuacha Idd Amin dada afe kifo cha asili tulifanya mfano mbaya sana kwa madikteta

ho chi minh

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2016
Messages
25,714
Points
2,000

ho chi minh

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2016
25,714 2,000
Ukisoma historia pekee iliyoandikwa na watu wenye malengo yao utaamini Idd Amin alikua muuaji na hakufaa kwa lolote.
Lakini ukitaka uamini kua si kila liandikwacho ni kweli ongea na watu waliokuwepo kipindi chake.

Uganda ilipiga hatua kubwa mno ki uchumi chini yake,
Barabara,hospitali,shule vilijengwa na pia kuwainua ki uchumi wazawa wenye nchi.

Kusema kweli Baba yetu wa Taifa alikua ni mchokozi sana, ile hali ya kufadhiri wapinzani na waasi wa mataifa mengi alikua nayo mno.

Yote yanayofanywa na Marekani kwa mataifa mengine madogo yalifanywa mno na Mwalimu ktk kipindi chake.

Hata ubabe alikua nao sana ingawa historia haizungumzi hayo kwa sasa!
 
Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined
Nov 16, 2008
Messages
1,856
Points
2,000

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined Nov 16, 2008
1,856 2,000
Afadhali Mkuu nawe umeongea.Kimsingi,wazee wetu wengi walioenda vitani ukiwauliza kuhusu Idd Amin wanasema he was such an evil man.Pale Uganda walishuhudia mabaki ya uovu wa Amin, mengine waliambiwa na Waganda wenyewe.Na ndo maana JWTZ haikukutana na upinzani kutoka kwa raia, sana sana walipokewa kwa shangwe zote.

Lakini cha ajabu:kuna kizazi ndani ya Tanzania yetu (ambacho hakikwenda vitani na wala hakijui vita ni nini) kinaamini Idd anazushiwa.Na ukichunguza wengi wao wanatoa utetezi wakichagizwa na udini.Na sijui kwanini hawawaulizi wapiganaji kama Yusuph Himid kuhusiana na Amin?

Siku zote huwa nawasihi ndugu zangu wale, dini isiwafanye wasione maovu ya muumini mwenzao hata kama yapo.Mimi ni Mkristo, lakini Ukristo wangu siwezi kuutumia kukanusha ukweli kwamba Wakristo wenzangu,tena Wakatoliki wenzangu Jean-Bedel Bokassa, Benito Mussolini,Adolf Hitler walikuwa madikteta.Kwanini dikteta Mwislamu akijadiliwa Waislamu waje juu?
👇
Ukweli ni kwamba, toka Amini Achukue Nchi, Mwl alifadhili vikundi vya wakina Obote na vinginevyo vikawa vinaingia Uganda vinashambulia vikitokea maporini mpakani upande wa TZ Kagera.
Amini alijaribu kuongea hili na Mwalimu, alivoona mambo yanaendelea akachukua maamuzi japo likawa ndio anguko lake
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
27,470
Points
2,000

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
27,470 2,000
Ukisoma historia pekee iliyoandikwa na watu wenye malengo yao utaamini Idd Amin alikua muuaji na hakufaa kwa lolote.
Lakini ukitaka uamini kua si kila liandikwacho ni kweli ongea na watu waliokuwepo kipindi chake.

Uganda ilipiga hatua kubwa mno ki uchumi chini yake,
Barabara,hospitali,shule vilijengwa na pia kuwainua ki uchumi wazawa wenye nchi.

Kusema kweli Baba yetu wa Taifa alikua ni mchokozi sana, ile hali ya kufadhiri wapinzani na waasi wa mataifa mengi alikua nayo mno.

Yote yanayofanywa na Marekani kwa mataifa mengine madogo yalifanywa mno na Mwalimu ktk kipindi chake.

Hata ubabe alikua nao sana ingawa historia haizungumzi hayo kwa sasa!
Hapa kuna ukweli 😂😂😂😂
 
Forum statistics

Threads 1,344,409
Members 515,467
Posts 32,820,159
Top