MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,759
- 3,033
Hii sasa ndio ingekua sentensi ya kwanza kwenye huu uzi.Nilikua ofisini kwangu nimekaa nikasinzia yeye aliingia kwa Siri akapiga picha bila hata kuniambia na akaanza kuwatumia viongozi wengine
Hakika asingeweza kukuambia/kukuamsha, kama nia yake ilikua kupata ushahidi juu yako
Aliwatumia picha ikiwa na maelezo au ilikua picha tu?