Kumpiga mtu picha akiwa eneo la kazi na kuzituma mtandaoni; taratibu za kisheria zinasemaje?

Nilikua ofisini kwangu nimekaa nikasinzia yeye aliingia kwa Siri akapiga picha bila hata kuniambia na akaanza kuwatumia viongozi wengine
Hii sasa ndio ingekua sentensi ya kwanza kwenye huu uzi.
Hakika asingeweza kukuambia/kukuamsha, kama nia yake ilikua kupata ushahidi juu yako
Aliwatumia picha ikiwa na maelezo au ilikua picha tu?
 
Ilikua NI picha tuu. Na kisha ameiprinti na kuibandika kwenye mbao za matangazo
 
Hii ni mara yako ya kwanza kulala/kusinzia ofisini?
Kama ilishatokea; je, ulishaitwa na kuhojiwa kuhusu hio tabia?
 
Haijawai tokea kabsa na hata in charge wangu anathibitisha ilo. Ila wamesema nitaitwa kwenye kikao ndo nasubiri. Nini naweza kueleza hapo
 
mzee wewe utakuwa security, huko ndo kuna haya mambo zaidi
 
Haijawai tokea kabsa na hata in charge wangu anathibitisha ilo. Ila wamesema nitaitwa kwenye kikao ndo nasubiri. Nini naweza kueleza hapo
Kama ni mara ya kwanza, basi utakua salama haswa kwa vile hata in charge wako amethibitisha hilo.
Kwenye kikao, usiruhusu jazba ikutawale. Na kwamwe usionyeshe kua kosa ni la mwajiri i.e. kwanini amekupiga picha na labda ulilala kwa ajili ya uchovu (kazi nyingi).
Kiri kosa (since ushahidi upo) na uwahakikishie kua haitatokea tena!!
 
Asante Sana tumemaliza tumefanya km counseling,, lakn yule mzungu aliprint picha akabandika Kila mahali je hapo naweza kuchukua hatua gani? Je sio udhalilishaji?
 
Wewe umeenda kufanya kazi au kulala,au hujui ukilala kazi nazo zinalala,
Ukikosea kubali kujishusha ili mambo yaende
 
Nilikua ofisini kwangu nimekaa nikasinzia yeye aliingia kwa Siri akapiga picha bila hata kuniambia na akaanza kuwatumia viongozi wengine

Aliwatumia viongozi kuwaambia unalala badala ya kjufanya kazi za watu?? Au kwa nia ingine??? Huoni kama alichukua picha ili anapo kufukuza kazi iwe ushahidi ili usibishe
 
Ukisikia unechoka kazini toka nje upate fresh air, ubongo ukipata fresh air unaendeleza libeneke na pia kupiga hatua mblil tatu nje ni nzuri kwa circulation. Ikiwezekana take a deep breath in and release it slowly mara tatu ukiwa nje.
 
Kwenye mkataba hakuna Mambo ya kusinzia kazini. Bali Kuna kuhusu kulala kazi yaan kutokuja kazini. Karibu

Mimi sio mtalaam sana wa sheria ila nitachangia kama ifuatavyo
Katika tarataibu na sheria ya kampuni yoyote huwa wanaweka utaratibu ikiwemo mambo yafuatyo

1. Kulala kazini
2. Ulevi na kupigana kazini
3. Utoro

sasa twende kisheria zaidi kwa kutunia kanuni za ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2007 kifungu cha 12 (1) (b) iii ikiwa kama ulikuwa na taarifa za taratabu ambazo kampuni imejiwekea itahararisha kufukuzwa kazi

Tunaendelea kanuni za ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2007 kifungu cha 12 (2) kinasema kosa moja halitohararisha mtu kufukuzwa kazi ila ikiwa itahbitika uvunjwaji wa sheria ni mkubwa hivyo kupelekea suala la ajira kuwa hatarini kuendelea

Sasa basi hapa inategemea aina ya kazi uliyokuwa unafanya mfano kulala huko kukaleta hasara kubwa kwa kampuni hivyo mwajiri atachukulia ni kama uzembe uliokithiri na hii inapewa nguvu na kanuni za ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2007 kifungu cha 12 (3)

Ushauri mfate huyo boss muombe msamaha na uoneshe kwamba ilo kosa hauwezi kurudia tena maana hata sheria inaruhusu hivyo pia
 
Yameisha tumefanya km counseling, lakn kitu kingine NI kwambaa yule KIONGOZI ameiprinti picha ile na kuzibandika Kila ubao wa matangazo. Sasa je hapo sio kosa la uzalilishaji kwa mujibu wa sheria? Je naweza kuchukua hatua gani hapo?
 
Mkuu haukufanyiwa Induction? kama haukufanyiwa Induction basi kampuni yako ina makosa
Yameisha tumefanya km counseling, lakn kitu kingine NI kwambaa yule KIONGOZI ameiprinti picha ile na kuzibandika Kila ubao wa matangazo. Sasa je hapo sio kosa la uzalilishaji kwa mujibu wa sheria? Je naweza kuchukua hatua gani hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui unafanya wap kazi ila kama ni mining swala la safety halina kufichana hua wana weka kwenye notice board unsafe acts pia huyo boss wako Ange kuacha ingetokea ajari ange wajibika yeye na wewe
Ndo maana nauliza je naweza kuchukua hatua gani maana zile picture ameziprinti na kuzibandika kila mahali, ,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom