Kumpiga mtu picha akiwa eneo la kazi na kuzituma mtandaoni; taratibu za kisheria zinasemaje?

Mining area yote ni hatarishi kuanzia getini lkn pia ikitokea emergency unatakiwa ukaokoe wenzako sasa kma wewe umelala huoni kama ni hatari? Kuhusu picha hua kuna utaratibu wa kushare hizo unsafe acts worldwide ndio maana ukienda kwenye safety board unakuta hata kesi za Australia wanaleta bongo ilikuwapa awareness
Wakati anapiga picha nilikua ofisini tuu sio labda sehemu hatarishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Sana tumemaliza tumefanya km counseling,, lakn yule mzungu aliprint picha akabandika Kila mahali je hapo naweza kuchukua hatua gani? Je sio udhalilishaji?
Ingebidi utoe hoja yako siku ile ile mliyofanya kikao. Kuendelea na hilo swala baada ya kikao, haitakua jambo zuri kwako. Endelea kuchapa kazi ila unaweza kwenda kwa Meneja rasilimali watu kumueleza kua kitendo cha picha yako kusambazwa kilikudhalilisha then yeye ndio atazungumza na huyo mzungu!
 
Nimemuandikia barua mwajiri kuomba ufafanuzi Kama NI haki kubandika picha kwamba yeyote tu anaweza kufanya? Na Kama sio haki nimemtaka mwajiri atoe ruhusa ya kuziondoa izo picha. Barua nimeipitishia kwa katibu chama Cha wafanyakazi wa hapa. Je hapo nimefanya sahihi? Lakn Kama nikiripoti polisi au mahakaman kwamba nimedhalilishwa je si Nina haki? Au Kama alivyotuma WhatsApp na ushaidi ninao je cwezi kulipeleka polisi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom