Kumiliki laini zaidi ya moja ni ushamba uliokithiri

Nina sim card 4, na kila sim card ina matumizi yake official.

Voda - official kwa matumizi ya ofisi na watu wa ofisini - official office contact.

Airtel - For family and friends and perdonal social issues

Yas - Social issues na some specific issues za research nk

Ttcl - for specific issues za kiofisi

sio ujinga kua na simcard nyingi, ni kawaida tu, ni vile wengine hatupendi kuchanganya mambo binafsi, ya kiofisi, ya marafiki na ya familia, na zote 4 kila moja iko kwenye simu yake na inatumika kwa muda wake, sio naenda kazini nabeba zote kwenye pochi, noo.
 
Dizaini hii ya watu ndo wale wanaodanganyika kwa spika za dj maki za "Jipatie laini ya chuo" kwa chuo gani ulichosomea? Shwain
Dah nimecheka knoma 😂

Mm nna namba moja ya Voda tuu tangu siku ya kwanza kuanza kutumia simu mpaka leo hii.

Binafsi pia hua sipendi kuwa na si card za mitandao mingi, pia sipendi kusave save kila mara namba za mtu mmoja na hua namuona anazingua mtu mwenye namba nyingi ila ndo hvy tuu huwezi kumpangia mtu namna ya kuishi.
 
Nina sim card 4, na kila sim card ina matumizi yake official.

Voda - official kwa matumizi ya ofisi na watu wa ofisini - official office contact.

Airtel - For family and friends and perdonal social issues

Yas - Social issues na some specific issues za research nk

Ttcl - for specific issues za kiofisi

sio ujinga kua na simcard nyingi, ni kawaida tu, ni vile wengine hatupendi kuchanganya mambo binafsi, ya kiofisi, ya marafiki na ya familia, na zote 4 kila moja iko kwenye simu yake na inatumika kwa muda wake, sio naenda kazini nabeba zote kwenye pochi, noo.
Hapo sijaona utofauti wa kazi za lain ya Voda, Yas na TTCL, labla kwakuwa umeandika kwa Kingereza ndo mana sielewi.
 
Hata mimi acha niwe, mshamba, ninazo line tatu, na zote ziko hewani.
.Kwa mtu anae safiri safiri hii inasaidia sana, maana kuna maeneo unakuta mtandao fulani unasumbua.
Nyumbani 1
Binafsi 1
Kazini 1
Special 1
Emergency 1
 
Dah nimecheka knoma 😂

Mm nna namba moja ya Voda tuu tangu siku ya kwanza kuanza kutumia simu mpaka leo hii.

Binafsi pia hua sipendi kuwa na si card za mitandao mingi, pia sipendi kusave save kila mara namba za mtu mmoja na hua namuona anazingua mtu mwenye namba nyingi ila ndo hvy tuu huwezi kumpangia mtu namna ya kuishi.
Mtu mwenye line nyingi namuonaga tapeli au kutojiamini
Me Nina airtel tu, japo wanazingua ila Huwa siwahami
 
Kwahy wanaume kwa wanawake mnashindana kusema lain mnazotumia

Dah Wananchi mna hatari sana nyie, kumbe jamii ndo imechafuka hv 🙌
 
Mtu mwenye line nyingi namuonaga tapeli au kutojiamini
Me Nina airtel tu, japo wanazingua ila Huwa siwahami
Yah ht Mm hua siwaelew hawa watu, Mm niliwahi kujaribu kuwa na lain ya pili ila nikawa naona uvivu kwenye kuanza kujitambulisha hvy nikaachana nayo, mpaka leo h nna lain moja.
 
Simu moja inabakia kwenye gari ikiwa off nyingine ya kazi na nyingine ya marafiki wa kawaida😀😀😃😀
 
Kuna watu wana sababu za msingi kutumia lain nyingi, binafsi hao Mm sina shida nao na nawaelewa.

Ila kuna wengine hawana sababu za msingi, kwenye hili Mm namuunga mkono mtoa mada.
 
Watu wa namna hii wanaudhi sana kama sio kusikitisha. Unakutana na mtu ana namba ya kila mtandao. Day one kakupa let say namba yake ya Voda, wakati anarudisha message unashangaa namba nyingine (Yas), unavumilia, unasave

Kesho yake unashangaa kuona namba ngeni inaingia kwa simu (Airtel), kwa sisi wenye vipengele hapa mjini huwa hatupokei namba ngeni kirahisi rahisi. Baada ya 40 missed calls unaamua kumpokelea, kumbe ni Athumani Majaba, halafu analaumu eti hupokei simu

Kwenye miamala anakutumia namba let say ya Halotel "Utaskia Tuma Humu", majibu ya kuonesha kuwa muamala umefika yanakuja kwa laini ya TTCL

Huo ni uzamwamwa! Nowdays serikali imethibiti utofauti wa huduma za mawasiliano ya mitandao ya simu. Kwa kifupi hakuna mtandao bora kumzidi mwingine, zote ni sawa, MB 245 za Yas ni kwa Tsh. 500 vivyo hivyo kwa mitandao mingine yote, au dizaini hii ya watu ndo wale wanaodanganyika kwa spika za dj maki za "Jipatie laini ya chuo" kwa chuo gani ulichosomea? Shwain

Hakuna kitu kinachonikera na kuchafua simu yangu kama kusave majina Juma Voda, Juma 2, Juma 3, J4 nikiwa na maana ya mtu mmoja
Nina Whattssapp mbili, upo hapo?
 
Mtu mwenye line nyingi namuonaga tapeli au kutojiamini
Me Nina airtel tu, japo wanazingua ila Huwa siwahami
Endelea kutuona matapeli, laini yangu niliyokuwa natumia Uingereza naitumia mpaka Tanzania.

Sasa wewe endelea kukalili tu, hujui hata security reason.
 
Wewe Melki wewe unapiga kelele juu ya line za Simu Kama ID unazo zaidi ya nne humu ndani.
Hiyo line moja unatupiga chai.

Na Kama Simu yako sio ya line moja bhasi line ya pili imeshajifiaga kitambo.
 
Watu wa namna hii wanaudhi sana kama sio kusikitisha. Unakutana na mtu ana namba ya kila mtandao. Day one kakupa let say namba yake ya Voda, wakati anarudisha message unashangaa namba nyingine (Yas), unavumilia, unasave

Kesho yake unashangaa kuona namba ngeni inaingia kwa simu (Airtel), kwa sisi wenye vipengele hapa mjini huwa hatupokei namba ngeni kirahisi rahisi. Baada ya 40 missed calls unaamua kumpokelea, kumbe ni Athumani Majaba, halafu analaumu eti hupokei simu

Kwenye miamala anakutumia namba let say ya Halotel "Utaskia Tuma Humu", majibu ya kuonesha kuwa muamala umefika yanakuja kwa laini ya TTCL

Huo ni uzamwamwa! Nowdays serikali imethibiti utofauti wa huduma za mawasiliano ya mitandao ya simu. Kwa kifupi hakuna mtandao bora kumzidi mwingine, zote ni sawa, MB 245 za Yas ni kwa Tsh. 500 vivyo hivyo kwa mitandao mingine yote, au dizaini hii ya watu ndo wale wanaodanganyika kwa spika za dj maki za "Jipatie laini ya chuo" kwa chuo gani ulichosomea? Shwain

Hakuna kitu kinachonikera na kuchafua simu yangu kama kusave majina Juma Voda, Juma 2, Juma 3, J4 nikiwa na maana ya mtu mmoja
Sikujuaga watu wanakwazika hadi kwa hili😀😀
 
Back
Top Bottom