Kumiliki laini zaidi ya moja ni ushamba uliokithiri

Kumiliki laini zaidi ya moja ni ushamba uliokithiri

Nina line sita

Vodacom
Halotel
Zantel
Artel
Ttcl
Yas

Zote ni special no kwa maana ukitoa code 4 za mitandao husika, hizo no sita zilizobaki zinafafana kwa mitandao yote, nliamua kutengeneza hivyo na nimefanikiwa kwa hilo
Baada ya ya Zantel kununuliwa na Tigo ile line sijaitupa bado naitumia kama back up hasa hasa upande wa kuweka miamala
Kwa mtazamo wangu ni muhimu sana kuwa na line za mitandao yote ila katika hizo line chagua moja ambayo hiyo ndo itakua line kuu ya mawasiliano, afu hizo zingine zitumike kwa emergency,
Mfano juzi nlienda moshi kijiji flani kiko juu sana, huko mitandao yote haisomi zaidi ya Airtel sasa isingekua na line ya Airtel nisingepata mawasiliano
 
Mnao sema ushamba huenda hamjakutana na changamoto za mawasiliano,binafsi nina tigo na voda nikajisemea hizi sasa basi

Lkn nilikuwa songea sehemu moja karibia na msumbiji huko ni halotel na airtel tu,so ikanibidi nichukue airtel

Na kwakuwa nayo niliitumia na kujulikana kwa kiasi flan nimeamua kuishi nayo

Kwahiyo inategemeana na mazingira ya wakati huo
 
ngara23 nishatekwa....yaan kwishaa
Hapa kuku analiwa kwa Kuona kadi yenye maandishi tu.
Na wanaume mmejigundulia sana sikuhizi...ana tamaa na mwanaume mwenye gari bas wajipitisha nalo mbele yake..wampa lift wamgongea humohumo then kwenu🥴
🤣😂Pesa zangu ziko bank, zingine shambani me ni tajiri asiye na kelele.

Hiyo ni pesa ya bodaboda
 
🤣😂Pesa zangu ziko bank, zingine shambani me ni tajiri asiye na kelele.

Hiyo ni pesa ya bodaboda
🤣🤣Na unavyojua kufukuza wake,mi utanifurusha na tutoto twangu...peleka kwa baba yaoo🤒!!!
 
ngara23 nishatekwa....yaan kwishaa
Hapa kuku analiwa kwa Kuona kadi yenye maandishi tu.
Na wanaume mmejigundulia sana sikuhizi...ana tamaa na mwanaume mwenye gari bas wajipitisha nalo mbele yake..wampa lift wamgongea humohumo then kwenu🥴
To yeye hulaliii
 
Mnao sema ushamba huenda hamjakutana na changamoto za mawasiliano,binafsi nina tigo na voda nikajisemea hizi sasa basi

Lkn nilikuwa songea sehemu moja karibia na msumbiji huko ni halotel na airtel tu,so ikanibidi nichukue airtel

Na kwakuwa nayo niliitumia na kujulikana kwa kiasi flan nimeamua kuishi nayo

Kwahiyo inategemeana na mazingira ya wakati huo
Jamaa kazingua sana mkuu
 
Tatizo mitandao yetu haijitoshelezi. Kila mtoa huduma ana huduma utakayoipenda:

Vodacom 1 (personal) [11 years]
Vodacom 2 (miamala)
Vodacom 3 (Wi-Fi router)
TTCL (dk/sms)
Halotel (work)
Airtel (miamala ya kimtandao)

Ili kuwa na mpangilio mzuri huwezi kutegemea namba moja. Simu za familia/marafiki haziwezi kuingia na simu za kazi kwenye namba hiyohiyo. Miamala pia lazima iwe na laini yake. Kwangu namba binafsi ndiyo haipaswi kubadilika, mtu niliyempa namba yangu miaka 11 iliyopita akinitafuta leo ananipata.

Kitu kingine kuwa na mtandao zaidi ya mmoja ukiwa eneo lolote Tanzania una-switch tu mtandao unaopatikana mahali ulipo.
 
Watu wa namna hii wanaudhi sana kama sio kusikitisha. Unakutana na mtu ana namba ya kila mtandao. Day one kakupa let say namba yake ya Voda, wakati anarudisha message unashangaa namba nyingine (Yas), unavumilia, unasave

Kesho yake unashangaa kuona namba ngeni inaingia kwa simu (Airtel), kwa sisi wenye vipengele hapa mjini huwa hatupokei namba ngeni kirahisi rahisi. Baada ya 40 missed calls unaamua kumpokelea, kumbe ni Athumani Majaba, halafu analaumu eti hupokei simu

Kwenye miamala anakutumia namba let say ya Halotel "Utaskia Tuma Humu", majibu ya kuonesha kuwa muamala umefika yanakuja kwa laini ya TTCL

Huo ni uzamwamwa! Nowdays serikali imethibiti utofauti wa huduma za mawasiliano ya mitandao ya simu. Kwa kifupi hakuna mtandao bora kumzidi mwingine, zote ni sawa, MB 245 za Yas ni kwa Tsh. 500 vivyo hivyo kwa mitandao mingine yote, au dizaini hii ya watu ndo wale wanaodanganyika kwa spika za dj maki za "Jipatie laini ya chuo" kwa chuo gani ulichosomea? Shwain

Hakuna kitu kinachonikera na kuchafua simu yangu kama kusave majina Juma Voda, Juma 2, Juma 3, J4 nikiwa na maana ya mtu mmoja
Naunva mkono..ni ushenzi sana kwa matendo hayo lkn sio ushenzi kumiliki namba zaidi ya moja.
 
Back
Top Bottom