Kumiliki bastola ni mzigo na hasara

Kumiliki bastola ni mzigo na hasara

Tatizo hizi hapa MIKHAIL KALASHNIKOV 47(AK-47) kwa Tanzania hawaruhusu kwa raia wa kawaida kisheria,I swear ningeweza kuwa nayo tu.Marekani wanaruhusu, tatizo kule watu wanaozimiliki kiholela huwa wanajizuka na kuanza kumiminia risasi watu.Matatizo ya msongo wa mawazo na matumizi ya dawa za kulevya vinachangia kwa kiasi kikubwa watu kumalizana...View attachment 1260892
Silaha za kivita hairuhusiwi raia yoyote kuimiliki.
 
Rafiki unataka waue?
Wanabodi.

Wengi ambao wana mguu wa kuku wanapata shida nazo sana. Kuzitunza , kuzibeba na kuzimudu. Wengi wanagongwa wao na hizo machine zao. Hawana mafunzo, hawastahimili na wana misongo mingi ya mawazo.

Sijawahi kusikia kusikia mwenye bastola ameua mharibu kiufasaha. Never. Zinawaponza
Rafiki wataka waue hovyo simply tu wana baatola?
 
Nimekumbuka kisa cha yule Prof aliyejitandika mwenyewe kwa bahati mbaya akiwa anaisafisha bastola yake.

Kumiliki silaha halafu hupati kisanga cha kuitumia inafanya wengine waishie kutishia hadi wahudumu bar wakilewa.
 
Wanabodi.

Wengi ambao wana mguu wa kuku wanapata shida nazo sana. Kuzitunza , kuzibeba na kuzimudu. Wengi wanagongwa wao na hizo machine zao. Hawana mafunzo, hawastahimili na wana misongo mingi ya mawazo.

Sijawahi kusikia kusikia mwenye bastola ameua mharibu kiufasaha. Never. Zinawaponza
Mkuu hivi vibastola mzigo sana na viko effective kwenye close range, waruhusu watu tumiliki AK47 ili so ikisanuka tufunge mtaa kabisa!
 
Kiongozi hiyo kitu haiachwi kwenye gari, hiyo unatakiwa kuwa nayo popote ulipo, vingine you kabidhi mahali salama panapotambulika. Siku vibaka waiotee utajilaumu sana usumbufu utakaoupata
Mguu wa bata unanipaga ucomando wa kutembea au kusafiri 'alone' mchana na usiku.

Sema nyumba ya ibada siendi nao, naacha kwenye gari.
 
Mimi kuna siku nmelala zangu na nilikua nimechoka kweli, nikawa naota ndoto za kuibiwa ibiwa hamadi nikajikuta nmeamka kutokana na kusikia kitu kimedondika huko nje..ikabidi nichungulie kupitia dirishani maana ni maeneo pia ambayo huwa napaki kibeby walker changu..nikaona jamaa mbavu kama sita hivi ndo wanamalizia kung'oa bumper la beby walker yangu. Ata kama ningesema nitoke nisingewaweza kupambana nao,nikaona isiwe tabu maisha ya kidigitak Nikakoki tu mguu wangu nikamlenga mmoja wao kwenye paja. Haikupita sekunde sikuona mtu aliyebaki pale zaidi ya huyo jamaa ambaye nilimlenga. Sasa nisingekuwa na mguu wa kuku ningewawezaje hao jamaa
Nini kiliendelea mkuu?[emoji28][emoji28]
 
ungana na Okonkwo katika Things Fall Apart, aliitumia bunduki yake kwa mara ya kwanza kumpiga mkewe Ekwefi hali ya kuwa ni Week of peace.

ikumbukwe haikuwa imewahi kuua hata panya.

utokee uhalifu nyumbani nawe uko matembezi/safarini itakusaidiaje? pia majambazi wanatumia AK47 na sub machine guns, hizo revolvers na riffles zitafurukuta kweli?

mwisho wa siku tutakubaliana tu na mleta mada; ni mzigo. hao waliofanikisha kuwalenga maadui ni bahati tu au timing, vinginevyo maadui wanajipanga hasa wakijua unayo.
Kwani okonkwo alimpiga shaba? Si kwamba alitumia mwili tuu kumuua mkewe ? Akapewa ban alivyorudi watu tayari washabadilika
 
Tatizo hata ukiitumia kujihami bado kuna maelezo ya kutosha utatakiwa kuyatoa, pia hawa wanaopewa hizi salaha waongezewe mafunzo na afadhali wawe wanapewa mafunzo kila mwaka.
Kuna jirani yangu alivamiwa na vibaka wa mondo na mapanga,basi wakiwa wanavunja grill la jikoni akahisi kama wanavunja mlango wake wa chumbani,alikurupuka na yowe moja takatifu huku anamimina risasi dirishani pasipo kumlenga mwizi.Duh!.mafunzo muhimu!.
 
Kwa hasira za karibu nilizonazo sitaki kuimiliki, Bora nitafute hela nikodi bodigadi
 
Mtaani vibaka wananisumbua mno wanasababisha niwe narudi home saa 2 shenzy hawa. Siku nikidunduliza vi hela nitaenda nunua then nianze pambana na vibali. Hapa nina RB 3 za uvamizi[emoji35][emoji35]. Kila nikienda polisi jamaa wananiambia bado hujanunua tu? Watakutesa hao.... Tatizo mpunga tu daaah....
 
Mimi kuna siku nmelala zangu na nilikua nimechoka kweli, nikawa naota ndoto za kuibiwa ibiwa hamadi nikajikuta nmeamka kutokana na kusikia kitu kimedondika huko nje..ikabidi nichungulie kupitia dirishani maana ni maeneo pia ambayo huwa napaki kibeby walker changu..nikaona jamaa mbavu kama sita hivi ndo wanamalizia kung'oa bumper la beby walker yangu. Ata kama ningesema nitoke nisingewaweza kupambana nao,nikaona isiwe tabu maisha ya kidigitak Nikakoki tu mguu wangu nikamlenga mmoja wao kwenye paja. Haikupita sekunde sikuona mtu aliyebaki pale zaidi ya huyo jamaa ambaye nilimlenga. Sasa nisingekuwa na mguu wa kuku ningewawezaje hao jamaa
Mkuu, walikimbiaje hao?

Hahahaaa
 
Asilimia kubwa ni sifa tu, hiyo mnayosema kukuongezea kujiamini au kutembea muda wowote sio lengo hasa la kumiliki chuma.... na hiyo kujiamini inawafanya wengi kutengeneza mazingira ya ‘kuchokozwa’ ili ‘wajihami’.

Nawaonea huruma hawa FFU wetu kila siku kubebelea mitutu, wengi wao hawajawahi hata kuzitumia japo kazi yao ni hiyo.... huwa natamani hata kuwachapa vibao ili japo wapige hewani kuondoa kutu.
Hahahaha
 
Kuna mtu namfahamu alikwapuliwa bagi la laptop kwenye daraja la kawe, mguu wa kuku ulirudisha laptop na mtu kwenda kulazwa hospital hata sina uhakika kama anasehemu za uzazi tena.
Hahahahaha hivi gharama za matibabu ni juu ya nani mkuu?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan huyo ningemuibia usk nikammaliz kbs shenz san .kuna mshamba fulan amekanata vihela..akifika bar anaweka chini ya meza...anakua anaigusa gusa na mguu yaan km anawatisha kimtindo watu..hapo kazungukwa na marafiki..nikaach kukaa ile bar mie ushamba huu!
Hahahahahahaha
 
Wengine washapewa refund zao maana ni miaka 4 sasa hakuna vikao vinavyokaa, hata mikoa migumu kama Kigoma bado vikija kwa DCI hatoi
Kupata kibali cha bunduki imekua mbinde sana sikuhizi.watu kibao wamewacha bunduki tanganyika arms wanasubiri vibali
 
Hao watu huuliwa kwa hicho kisingizio. Hakuna mmiliki wa ile kitu anaweza safisha bila kuhakikisha hakuna kitu chamber na magazine iko off
Nimekumbuka kisa cha yule Prof aliyejitandika mwenyewe kwa bahati mbaya akiwa anaisafisha bastola yake.

Kumiliki silaha halafu hupati kisanga cha kuitumia inafanya wengine waishie kutishia hadi wahudumu bar wakilewa.
 
Kwa hiyo walienda muhoji mkeo?
hata mimi nakaribia hiyo hatua niliomba mara ya kwanza wakaninyima vibali kisa mkewangu aliniwekea zuio kuwa nina hasira za simba, awamu hii nitakuwa mpole nipewe.
 
Back
Top Bottom