Kumiliki bastola ni mzigo na hasara

Kumiliki bastola ni mzigo na hasara

Itaishia kubaki Mzinga au Tanganyika Arms kibali mbinde hata uhonge vipi
ukiwa na 2M sasa hivi hata kesho jua Halizami unaipata

Andaa hiyo pesa uone kama kuna kinachoshindikana Chief.
 
Inasaidia sana
Screenshot_20191111-213317_Samsung%20Internet~2.jpeg
 
Acha uongo ndugu bunduki sio karanga.

Hivi milioni 2 zako ndo ziitishe vikao kuanzia Kata hadi Mkoa kukujadili wewe?
Watu wengine sijui huwa mwaotea wapi....

Kaulize Tanganyika Arms wana Bastola ngapi zilizolipiwa ila vibali havijatoka.
Kwa hapa Dar tu Kamati ya Mkoa haijakaa kujadili watu wanao omba na ni tokea Magu kaingia imekuwa kazi sana.

Vi afisa usalama vitakula hela ila mtu wa mwisho Mkoani
ukiwa na 2M sasa hivi hata kesho jua Halizami unaipata

Andaa hiyo pesa uone kama kuna kinachoshindikana Chief.
 
Kitaani wakijua una MGUU WA KUKU vibaka hawakatizi kabisa mtaani kwako.
ni hatari sana kujulikana mtaani una miliki hicho kifaaa

yani hata uki kimiliki kesho sikushauri uruhusu mtu ajue

Nina rafiki yangu hata mwezi haujaisha ninavyoandika hapa nimetoka kwake

bado anaumwa kwa majeraha na kujeruhiwa na majambazi waliokua wakimfatilia

STORY IKO HIVI

unajua sisi vijana kuna wengine tunapenda sifa za kijinga sana,sasa huyu ndugu yangu kila siku kuu

lazima apige juu tena anapiga kwa fujo sana mtaani kwake wote wanajua jamaaa ana kifaaa

sasa siku moja sijui alijichanganya vipi akawa katoka bila kifaaa kumbe hajui "Anawindwa" akaenda na ki baby walker chake

prrrrrrr kafika sehemu tunayo tuliiaga kauchuna kapaki gari katoa Embassy yake kaanza kupuliza zake mdogo mdogo

ghafla bin vuu majamaaa wakatokea pasipojulikana Kamata roba mbao wakamuingiza ndani ya gari yake

Hawakua na maneno mengi walimwambia sentensi moja Clean and short

Tunahitaji ile bastola unayoitumiaga,tuna kazi nayo hatuhitaji kuku umiza wala kukujeruhi tupe tuondoke zetu

Jamaa akawa anajifanya hana na hajawahi kumiliki, bwana bwana bwana bwana

Alipigwa aliteswa aliumizwa kiasi kwamba ukimuona unaweza anza kulia wewe kabla hajakusimulia ilikuaje

Baada ya kuumizwa hivyo aliachwa akiwa hajitambui ndani ya gari yake na aliletwa hadi kwake na gari lake wakalipaki nnje

wakamuacha hapo wakasepa zao.
 
Acha uongo ndugu bunduki sio karanga.

Hivi milioni 2 zako ndo ziitishe vikao kuanzia Kata hadi Mkoa kukujadili wewe?
Watu wengine sijui huwa mwaotea wapi....

Kaulize Tanganyika Arms wana Bastola ngapi zilizolipiwa ila vibali havijatoka.
Kwa hapa Dar tu Kamati ya Mkoa haijakaa kujadili watu wanao omba na ni tokea Magu kaingia imekuwa kazi sana.

Vi afisa usalama vitakula hela ila mtu wa mwisho Mkoani
sikulazimishi uniamini
 
Tatizo hizi hapa MIKHAIL KALASHNIKOV 47(AK-47) kwa Tanzania hawaruhusu kwa raia wa kawaida kisheria,I swear ningeweza kuwa nayo tu.Marekani wanaruhusu, tatizo kule watu wanaozimiliki kiholela huwa wanajizuka na kuanza kumiminia risasi watu.Matatizo ya msongo wa mawazo na matumizi ya dawa za kulevya vinachangia kwa kiasi kikubwa watu kumalizana...
953a22e7647acea13c923d6eb867dd84.jpeg
 
ni hatari sana kujulikana mtaani una miliki hicho kifaaa

yani hata uki kimiliki kesho sikushauri uruhusu mtu ajue

Nina rafiki yangu hata mwezi haujaisha ninavyoandika hapa nimetoka kwake

bado anaumwa kwa majeraha na kujeruhiwa na majambazi waliokua wakimfatilia

STORY IKO HIVI

unajua sisi vijana kuna wengine tunapenda sifa za kijinga sana,sasa huyu ndugu yangu kila siku kuu

lazima apige juu tena anapiga kwa fujo sana mtaani kwake wote wanajua jamaaa ana kifaaa

sasa siku moja sijui alijichanganya vipi akawa katoka bila kifaaa kumbe hajui "Anawindwa" akaenda na ki baby walker chake

prrrrrrr kafika sehemu tunayo tuliiaga kauchuna kapaki gari katoa Embassy yake kaanza kupuliza zake mdogo mdogo

ghafla bin vuu majamaaa wakatokea pasipojulikana Kamata roba mbao wakamuingiza ndani ya gari yake

Hawakua na maneno mengi walimwambia sentensi moja Clean and short

Tunahitaji ile bastola unayoitumiaga,tuna kazi nayo hatuhitaji kuku umiza wala kukujeruhi tupe tuondoke zetu

Jamaa akawa anajifanya hana na hajawahi kumiliki, bwana bwana bwana bwana

Alipigwa aliteswa aliumizwa kiasi kwamba ukimuona unaweza anza kulia wewe kabla hajakusimulia ilikuaje

Baada ya kuumizwa hivyo aliachwa akiwa hajitambui ndani ya gari yake na aliletwa hadi kwake na gari lake wakalipaki nnje

wakamuacha hapo wakasepa zao.
Tena hao kweli walikuwa na lengo na bastola tu,watu mpaka kukurudisha kwako na gari halafu wasiliibe ni nadra sana maana hiyo kitu walikuwa wanahitaji ili kufanya matukio ya unyang'anyi.
 
Mimi mshamba wala hujakosea,sasa wewe mjanja kawaulize hao polisi je ni kinyume na sheria kuacha moto Reception pale Sea Cliff afu ukaenda kulewa zako sinza,This is JF.
wasamehe wamejua ni reception ya Guest house pale mbele chumba 9000 per night

au reception kwenye ile bar pendwa yenye vyumba vya wageni

wakati mwingine uwe mpole mtu anapo kubishia kitu ambacho wewe unaamini haujam danganya.

kaaa zako kimya tu.
 
Acha uongo ndugu bunduki sio karanga.

Hivi milioni 2 zako ndo ziitishe vikao kuanzia Kata hadi Mkoa kukujadili wewe?
Watu wengine sijui huwa mwaotea wapi....

Kaulize Tanganyika Arms wana Bastola ngapi zilizolipiwa ila vibali havijatoka.
Kwa hapa Dar tu Kamati ya Mkoa haijakaa kujadili watu wanao omba na ni tokea Magu kaingia imekuwa kazi sana.

Vi afisa usalama vitakula hela ila mtu wa mwisho Mkoani
Kwani vikao ni kwaajili ya hela? Vikao ni kwaajili ya kutoa huduma kwa wananchi,hata vitu vyenye thamani ndogo vinajadiliwa na kamati za ngazi ya juu.Hii yote ni katika kutoa huduma kwa jamii...
 
wasamehe wamejua ni reception ya Guest house pale mbele chumba 9000 per night

au reception kwenye ile bar pendwa yenye vyumba vya wageni

wakati mwingine uwe mpole mtu anapo kubishia kitu ambacho wewe unaamini haujam danganya.

kaaa zako kimya tu.
Asante sana mkuu hii ndiyo JF na hii mada hainihusu tena ntakuwa kimya kama ulivyonishauri.
 
Tena hao kweli walikuwa na lengo na bastola tu,watu mpaka kukurudisha kwako na gari halafu wasiliibe ni nadra sana maana hiyo kitu walikuwa wanahitaji ili kufanya matukio ya unyang'anyi.
Jambazi aambiwe achague watu wawili kati ya hawa

1.Mwenye millioni 3 kwenye GARI

2.Mwenye Bastola kwenye GARI

Jambazi atakufata wewe mwenye Bastola maana hiyo Bastola akiwa nayo itampa hizo millioni 3 na zaidi.
 
OK kuliko ipotelee baa nikiwa nimelewa zangu bora ipotelee huko yatawakuta wengine,cha ajabu nikiuliza je ni kosa la Jinai hakuna anayenijibu.
Huyo hajui unapokabidhi lazima uandikishe na upewe risiti.Huu utaratibu hata polisi unatumika mbona,ili kama ikitumiwa vibaya na hao waliokabidhiwa hautahusika kubeba lawama...
 
Jambazi aambiwe achague watu wawili kati ya hawa

1.Mwenye millioni 3 kwenye GARI

2.Mwenye Bastola kwenye GARI

Jambazi atakufata wewe mwenye Bastola maana hiyo Bastola akiwa nayo itampa hizo millioni 3 na zaidi.
Haswaa, maana hiyo kwake ni mtaji mkubwa...Fact 100%
 
Back
Top Bottom