kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,706
Kwa hasira za arsenane lazima uitumie tu mkuu.Mimi ya kwangu toka niinunue sijawahi piga mtu,ila nahisi huu mwaka hauishi.....
Kwa hasira za arsenane lazima uitumie tu mkuu.Mimi ya kwangu toka niinunue sijawahi piga mtu,ila nahisi huu mwaka hauishi.....
mhh mkuu kupewa silaha sio kama simu,yaani utapelelezwa.hata ikikutwa umegombana na mtu karibuni au kitambo na bado una kinyongo naye hupewi.una mihasira ya kijinga una panick hovyo hupewi,mazingira yako ya utafutaji si salama kwa silaha hupewi(mfano uko machinjioni[emoji1][emoji1]).Kwa hiyo walienda muhoji mkeo?
Ila mashabik wa man u ndio wapewe baada ya kushinda dhid ya brightonHivi vitu (miguu ya kuku) sio ya kuwapa walevi au mashabiki wa arsenal wanaweza wakaleta maafa makubwa sana
Naye hajui kulenga shabaha vizuri. Mita3 unakosaje shabaha na kuishia kujeruhi?Muulize Zacharia mguu wa kuku anaushukuru hadi kesho ulimuokoa sana
[emoji16] Ndio ila waanze na wa cheltako fc kwanza wakati tunajiandaa kuwashushaIla mashabik wa man u ndio wapewe baada ya kushinda dhid ya brighton
Kwani okonkwo alimpiga shaba? Si kwamba alitumia mwili tuu kumuua mkewe ? Akapewa ban alivyorudi watu tayari washabadilika
Dah aiseee umenichekesha Sana mkuu hi ndio jf 98% tunamiliki magari
ongelea kusafiri nje ya nchi, injinia wa ndege na ujuzi wa kitaaluma kama tiba, masuala ya vita, elimu ya anga, siasa na uchumi hapo kila mwana jf ni nguli tena wa kiwango cha phd. aghalabu huwa nakosa pa kuchangia kwa kuogopa kubezwa na wajuzi hawa.
sasa vuta subira baada ya muda kuna nyuzi zinaanzishwa kuomba misaada na mambo kama hayo. id zile 'zile za mambo safi' zikiomba msaada wamedeli ada ya chuo, sijui shemeji kawaje, au pitia jukwaa la ujasiriamali ukute aliyejinadi kaajiriwa ana take home ya 5m anauliza kwa mtaji wa 500,000 naweza kufanya biashara gani. hapo ndio utajua keys za simu /kompyuta ni vichaka tosha kuficha tupu zetu.
Watu waongo unawakamata kirahisi. Unaiacha mapokezi ikienda tumika kufanya uharifu?
una mzigo aina gani?Nichokoze nikusambaratishe kichwa, mimi mtaa mzima wanajua kama ninaumiliki moto, kuna vijambazi uchwara vilitaka kureta ujinga kwenye nyumba ya jirani yangu ambae ni mfanya biashara, aisee nilipiga moja juu vile vijambazi vilisambaratika... Nilipata ujiko sana siku hiyo hapa mtaani kwangu, ikawa kila mtu aisee yule bwana sio wa mchezo mchezo yaani huyo bwana ndiye mimi asiyetabirika
... wengine wanasema eti kila mwaka mpya huwa wanapiga risasi 3 juu kubless Chuma....Kila risasi utakayoitumia ina hitaji maelezo siku ya ukaguzi au ku-renew leseni.[/USER]
Sheria hairuhusu. Hata ndani mwako basically spouse hapaswi kujua ilipo kwa usalama wake na wako piaSheria inaruhusu kuacha bastola kwenye reception ya hotel kweli?
Imagine hizi chai bila kashata.Huwezi kutumia risasi kizembe hivyo...
Sheria umekariri au unazijua,Hata wiki mbili zilizopita niliacha reception kwenye lodge moja Mwanza.Eti hata spouse anatakiwa asijue ni stori za mitaani tu.Sheria hairuhusu. Hata ndani mwako basically spouse hapaswi kujua ilipo kwa usalama wake na wako pia